Madactari tuhamie kusini.

kilaki

Member
Joined
Aug 27, 2012
Posts
49
Reaction score
5
Wiki iliyopita washkaji zangu wawili walipata mkataba wa miaka 3 namibya kwa mshahara mnono,jana jamaa wangu wa karibu pia ameitwa botswana kwa mkataba wa miaka 5 na mshahara wa kutakata.hakuna haja kulumbana na mwajiri asiyeweza kunilipa,hata mimi ngoja nisake pa kwenda.
 
Ukipata dili nistue coz uzalendo umenishinda.nchi hii hatuna amani bali tunavumiliana,mimi nimechoka kuuvumilia uzito wa vigogo.
 

Safari njema!
 
Nendeni hata kuzimu kuna wanaumwa kwa Ajili ya kipondo cha jehanamu, Hamna maana Nyie kabisa; bora nitibiwe na nurse kuliko Nyie. Hata mkiniona naumwa mniache.

Mmefanya niñi sasa Nyie wanafiki kumwomba rais msamaha? Siku zote watu walipokuwa wanakuga kwa migomo yenu mtawaombea Wapi msamaha?

Nyambafu
 

wewe fara, unaongea kwa kuwa hajakukuta. Manesi wenyewe wa voda fasta mwaka mmoja akutibu kama hujachomwa sindano na kuparalyse mwili mzima mpaka macho.
 
wewe fara, unaongea kwa kuwa hajakukuta. Manesi wenyewe wa voda fasta mwaka mmoja akutibu kama hujachomwa sindano na kuparalyse mwili mzima mpaka macho.

usinikumbushe sindano za manesi wetu waliokosa ujuzi wa kutosha.
 
Safari njema!

hata huko NANIBIA..BOSWANA NK. pia mshahra ni wakawida tu kwakua kule unakua ni wewe tu huna makundi au mjukumu ndio utona kama mshara ni mkubwa kwani DK wengi hapa wanapata $1400 na zaidi yahapo na ndio mishahara ya huko kwakua nyumbani majukum unayona usoni kila dakika na unaitaji kuya tatua hapohapo basi pesa hua haikutoshi MSHAHARA huo wa BOSWANA hauwatoshi pia kama ww ukiwa BONGO...
 
kama hujanielewa ni wazi hata huo 'ubongo' wako umejaa miusaha/makamasi na makohozi

duuuu.....Naona BIGWA umeumia kweli na hao WASAFILI waombee waende salama UTUMWANI nyumbani ni nyumbani tu
 

una taalamu ya udaktari hata kuandika Namibia huwezi?
 
hata huko NANIBIA..BOSWANA NK. pia mshahra ni wakawida tu kwakua kule unakua ni wewe tu huna makundi au mjukumu ndio utona kama mshara ni mkubwa kwani DK wengi hapa wanapata $1400 na zaidi yahapo ...

Mkuu Filonos, wapi hapa Tanzania daktari analipwa $1400, katika hospitali za Umma/Serikali.
 
Mkuu Abdulhalim, "ela" gani tena hiyo, interest tena??
nazungumzia wale walosomeshwa kupitia kodi za wavuja jasho, ile haikua zawadi, and it is not fair mvuja jasho alipishwe kodi afu mtu asomeshwe bure na kuishia kutumika kwengine..huko ni kudhulumu wakulima na wafanyakazi wa tz..
 

Madaktari hamna lolote. Nyote mtaishia kusini. You have to fight your cause here at home!
 

umenena vyema mkuu, hawa ndo wanaoweka matumbo yao mbele kuliko uhai wa wagonjwa.
Waondoke wala hatuhitaji huduma zao.
Tanzania ilikuwepo kabla yao na itaendelea kuwepo baada yao.
Wamesomeshwa kwa kodi halafu wanaleta nyodo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…