Madabida kizimbani kesho

Status
Not open for further replies.

Upepo huu, utapita tu
 
baba nanihino mbona haongei wakati na yeye anaweza kula hizo feki,au yeye anaishi kwa kula za nje.
 
Reactions: awp
umwache apelekwe mahakamani akaeneze udiniwake mana uyu jamaa ana mambo mengi ktk chama chake alikua anaeneza udini ktk taifa anaeneza madawa feki ok mwache apande kizimbani
I wish tungekuwa China. muda mchache ujao tungekuwa tunasema "Madabida is no more!"
 
Huyu ana nguvu ya pesa na pia ana nguvu ya chama chao. Hatadhuriwa na mahakama.
 
serikali yetu ndio ilitakiwa kumpandisha mahakamani, lakini kwa kuwa ni serikali dhaifu, inaogopa kwa sababu eti anachangia chama.
Ndugu zangu, hakika nawajulisha, hii kesi itafutwa,.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…