View attachment 2044835
Picathartes - ndege mzuri sana. Wameishi misituni Congo Basin na West Africa zaidi ya miaka milioni 40. Inasikitisha kuwa wanaelekea kutoweka kwa sababu za shughuli za binadamu. 40 MILLION YEARS wapo
na tutawapoteza.
Kwa kulinganisha, binadamu wa sasa tupo duniani kama miaka laki mbili tu. Wao wanatuona kama viumbe wa juzi tu.