Mada ya wanyama

Simba: Hawa ndio wanyama wkubwa kuliko wote jamii ya paka na huishi katika familia moja ambayo inaweza kuwa na simba hadi 40. Huishi kwa ushirikiano na mara nyingi majike ndo wenye jukumu kubwa la kuhakikisha wanawinda na kupata chakula cha familia nzima. Ushiriki wa simba dume katika uwindaji ni hafifu kulinganisha na jike. Mara nyingi hukaa na kusubiri majike wawinde na kisha wao waende kula. Katika uwindaji wao hutegemea zaidi katika nguvu zao pamoja na kasi japokuwa kasi hiyo haidumu kwa muda mrefu.

Chui: Ni jamii ya Paka ambao wanaishi peke yao peke yao sio kwenye makundi. Mara nyingi hukaa pamoja wakati wa kujamiana yaani jike na dume. Aina hii ya maisha imewafanya wawinde kwa njia ya kuvamia moja kwa moja na baada ya kukamilisha windo lake huweza kulificha juu ya miti ili kukwepa wanyama wengine wanaokula nyama wasiweze kumnyang’anya

Duma: Jamii hi ya wanyama wakubwa wanokula nyama hupenda kusihi katika makundi na hutegemea sana katika uwezo wao wa kukimbia kwani ndiye mnyama mwenye kasi zaidi duniani. Kasi yake katika uwindaji imemsaidia kuweza kufanikiwa japokuwa siorahisi kutokana na sababu nitakazo taja hapo chini.

Fisi: Wanyama hawa hutegemea sana katika uwindaji wa makundi, na uwindaji wao hutegemea zaidi katika uvumilivu mkubwa walionao wa kuweza kubana pumzi kubwa hivyo hawachoki haraka.

Mbwa mwitu: Ni mnyama mwenye uwindaji mbaya zaidi kuliko wanyama wote. Huwinda kwa makundi vile vile kama Fisi, lakini humla mnyama anayewindwa akiwa bado mzima na anapambana kujiokoa. Huyu anakula mkono huyu anakula kichwa mpaka anakufa na hawatumii muda mrefu ni kama dakika 15-20 windo linakuwa limeisha tayari.
 
Fisi hawabakishi kitu wanakula mpaka ngozi
 
ndo mana ni mweusi.
sijaelewa hapa...kuna uhusiano gani wa kuatamia mayai na weusi wake
Ni mweusi akilalia mayai usiku maadui hawatamuona,jike lenyewe ni mchana ndo maana lina rangi ya vumbi mchana likiwa limelalia maadu zake hawalioni pia.

Hii jamii ya ndege dume na jike wanashirikiana katika malezi,kuanzia kuhatamia hadi kukuza vifaranga vyao.
 
nimeelimika
 
Mkuu kwenye jamii ya paka Tiger(simba marara) ndiye mkubwa kuliko wote.
 
Haha sasa si alikuwa anafanya majaribio kwa vitendo. Unamkumbuka yule aliejilengesha ili amezwe na nyoka sijui alikuwa anatafiti nini kwenye tumbo la nyoka nusura angekufa sema wenzake walimtoa japo alikuwa hoi.
Hawa jamaa bwana
wanaamini sana katika jina kubaki vitabuni
 
Tofauti ya dume na jikeni ipi?
 
Parasitic Brooding
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…