Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,487
Mada inajieleza mkuu
Kula ni ulevi??nilikuwa sijui nimejua leoo!
Kula ni ulevi??nilikuwa sijui nimejua leoo!
Sawa nimejua misosi nayo ni ulevi..nimejua leo ila napendaga sana 'pilau'Mada inajieleza mkuu
Ah pilau ni habari nyingine mkuuSawa nimejua misosi nayo ni ulevi..nimejua leo ila napendaga sana 'pilau'
Ya mdomo ama ile ya macho?
Jr
Nependa sana pilau liwe na nyama nyingi na viungo kiaina!Ah pilau ni habari nyingine mkuu
Sure.liwe na rangi ya dhahabu...lisiwe jeusi...arghhhNependa sana pilau liwe na nyama nyingi na viungo kiaina!
Pilu jeusi ndo tamuu mkuu lisiwe na viazi..njegere mchuzi mixa mixa daah pia liwe na MAFUTA!Sure.liwe na rangi ya dhahabu...lisiwe jeusi...arghhh
Pilu aisee kama hilo HATARI!
Kwa mafuta nakubali..😋😋😋!Pilu jeusi ndo tamuu mkuu lisiwe na viazi..njegere mchuzi mixa mixa daah pia liwe na MAFUTA!
Huwa natumia cocaine ,bangi na whisky pombe situmii na sigara huwezi amini Niko kidogo tofauti
Ila kwa mazingira niliyopo imebidi nisitishe kwa mda
Sent using Jamii Forums mobile app