Mada ya kufungia mwaka 2015

The Icebreaker

Platinum Member
Joined
Apr 24, 2014
Posts
34,370
Reaction score
103,706
Wakuu kwema?

Hii mada naomba kila mtu aelezee chochote kile anachotaka kukieleza kabla hatujamaliza mwaka 2015 na kuukaribisha mwaka mpya 2016 kama Mungu akipenda..

Karibuni sana Wakuu,

Zingatia maadili please!
 
Moto wa Magufuli uzidi makali mara 3 ya hapo ulipo........Tuko nyuma yake kwaSala na Maombi ..........!!!!
 
Amebana sana mwambie alegeze kidogo sisi wengine hatujajenga ndugu yangu atupe hata mwaka mmoja hili tupigepige kisha ndio abane tutatona roho πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Huoni km ulichelewesha mwenyewe......huruma iwe kwako au kwa wengi wananchi wanaoteseka.......vuta subira kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake........!!
 
Hahahaaa!!
 
Hapa ulipata wachangiaji watatu mimi wa nne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…