huyu moses methew ni mwandishi wa habari mweupe sana kichwani,asiyejitambua wala kutambua nini anachojadili.
mimi huyu kaka mpaka sasa sijamuelewa hibi kweli ndo mgeni wa leo au kuna mwingine atakuja????
Wanabodi kwa ambao mnaangalia StarTv kuna mjadala unaendelea juu ya yaliyojiri Bungeni, kuna huyo mwandishi anaitwa Moses sijui anaandikia chombo gani cha habari mi hua simuelewi kabisa hoja anazotoa kwenye mijadala yote inayofanyika StarTv, kwa mnaomfahamu au ambao mshamuona kwenye mijadala huyu mtu mnamuelewaje?
Moses ni reporter wa habarileo mwanza. So usishangae kama anatapika, huwa hana hoja siku zote. Aliwahi kuwatetea polisi walipomuua mwangosi!
Kweli kabsa jamaa wananishangaza kuleta watu Wa hovyohovyo,Mara wanafunzi Wa sauti, wenyeviti Wa MtaaStar TV nao ni wa kulaumu kupotezea watu muda kwa kuleta watu hovyo kama moses methew,ni bora kuleta mwananchi mzalendo
Kweli kabsa jamaa wananishangaza kuleta watu Wa hovyohovyo,Mara wanafunzi Wa sauti, wenyeviti Wa Mtaa
mimi huyu kaka mpaka sasa sijamuelewa hibi kweli ndo mgeni wa leo au kuna mwingine atakuja????
Huyu Moses Methew Nadhani ana Matatizo ya Kutokujua