Tatizo la msingi ni uchaguzi wa Oct 25 Vs Mar 20. Huo wa kwanza CUF hawana shida nao wanautambua na ndio uliowaingiza hao wabunge Bungeni. Tatizo, wanavyodai wao, ni ule wa Mar 20.
sioni cha kujadili hapo. sababu ziko wazi kabisa kuwa demokrasia imebakwa.
haiingii akilini wasimamizi walewale wa uchaguzi na mazingira yaleyale kura alizopigiwa rais wamuungano na mbunge ziwe sahihi halafu zile za rais wa zanzibar na mwakilishi ziwe batili. ni uendawazimu.
ukweli ni kwamba Tanganyika tumeamua kuwakali hao watu wa visiwani kimabavu (kinyume na utashi wao)
Hicho kipindi cha pole pole nacho ni cha kipimbi kama vilivyo vipindi vingine vya kipimbi.hapo watakuwa wanajadili nini sasa.Wameshaambiwa matokeo yote ya uchaguzi wa oct.25 ni halali ispokuwa wao hawatambui ushetani wa machi 20.Alafuuuu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.