Mada maalumu ya walioa single maza na wa wale walioa mabinti

baba aura

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2023
Posts
254
Reaction score
393
Kwa heshima kubwa kati ya watu walioa/kuolewa na single maza/father na wale walioa mabinti huwa wanaona mafanikio au maendeleo yenye tija kwenye kukuza uchumi .

Walipo watuamishe wengine ili tusiwe nyuma
 
Wanaenda pamoja kwa Mwamposa leo kwa ajili ya cake ya upako, walipie nauli.
 
Kila mtu apambane na hali yake tuko zaidi ya billion saba mtafute unayemtaka wewe na uishi naye wewe hakuna wa kukuzuia
 
Back
Top Bottom