Mada Maalumu Ya Walevi: Kwanini Unakunywa Pombe(Mlevi)?

Mada Maalumu Ya Walevi: Kwanini Unakunywa Pombe(Mlevi)?

Tishakuambia kwanini tunakunywa utatupa Pombe Au.
nagawa pombe bure leo. Wadau karibuni nipo hapa mwayaya wilayani Buhigwe kigoma Tanzania, ofa kwa mtakao wahi kreti mbili mbili, saa kumi jioni nitaianza safari ya kurudi Burundi kikazi. karibuni sana ukifika mwayaya ulizia baa moja inaitwa Bugenzi BAR AND guest house
 
Wakuu
Hii mada ni maalumu kwa wanywa pombe aina zote za kienyeji(gongo,wanzuki na ile ya mtama) na za kisasa (pombe kati na soft)

Tuambie kwa nini unakunywa pombe?
Hivi unajuwa kuwa kuna tofauti kati ya mlevi na mnywa pombe??? Kama ilivyo kufanya tendo la ndoa na kufanya umalaya???

Sasa, unataka kujua sababu za ulevi au unywaji pombe??

SI KILA MNYWA POMBE NI MLEVI, BALI KILA MLEVI NI MNYWA POMBE
 
Back
Top Bottom