Ndugu wajumbe hongereni kwa kuendelea kuchangia pato ili wanunue mindege yao mie nilikata Moto leo kuanzia kumi na moja jioni nimezinduka saa tano usiku, kisa kvant leo zimeniweza ila nikasema sikomi nimerudi kiwanja hapa sunset naendelea kulipa mikodi tu.View attachment 992215
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sehemu nipo nawajibika nkitoka hpa ntatoa locationLocation?
Jr
Kuna kazi natumikishwa lkn kazi na dawa mwenyekiti ......Location?
Jr
Dah!! Yaani mpaka mapigo yangu ya moyo yameongeza kasi. Kijasho chembambaa...Mtoto wa Kitanga umeniweza, hapo umeandika, ningesikia unaongea sasa hivi ningekuwa kwenye ambulance. Hapa bia zinashuka burdaaani!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nimejaribu kuchungulia picha kwenda juu nimeambualia mikono tu. Nilijua simu yangu mbovu!
Yaani hapa nilipo baridi kalii
Natundika vyombo wapii. Wakubwa wanafaidii
Sent using Jamii Forums mobile app
Eeenh lakini sura haijaonekana
AbeeeeHebu kesho tuchagueni kiwanja cha kuonana... Hasa kwa walio dar
Rai ya mwenyekiti
Jr
Acha kabisa mambo ya jana
Eeenh