marko maluli
Senior Member
- Mar 14, 2015
- 163
- 45
we unachaguliw kwenda advance cha msing jipange tu
Matokeo yangu ya necta yak0 kama hv
hist C
civ D
kisw B+
geo D
eng B+
bio C
math C
naweza kusoma EGM au HGE
Nursing Au Medical Rercord,
ualimu.
Rungemba community development
Unesi ni ngumu kidogo mana hana physics na chemistry masomo ambayo ni basics ila apo ana chance ya advance kwa HKL kama yuko fit wacha akapige shule advance japo arts ni mtiti katika employment issues .. Polisi na ualimu ni bora zaidi haswa polisi mana akishaingia kwenye system ni bora zaidi na atachagua chochote apendacho kusoma akiwa tu ndani ya majeshi kama Mpunga unasoma mfukoni muache aende advice arts ili akimaliza university umpiganie kazi
Duh,nimeumia hapo uliposema anapenda ualimu ila ana kigugumizi,ila sina uhakika kuwa wote wenye vigugumizi hawawezi kuwa waalimu na pia asipokuwa mwalimu ataweza tu kufit kwenye idara za taaluma,au asomee course zingine za social sciences.