Aisee au nighairishe haka kampango? Maana sijaona hata mmoja anaesemaa kitu positive kidogo nikapata moyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
si kama yaligoma naona ulikuwa unaomba ukiwa na majibu/mategemeo tayari. Hapa wengi tunakosea tunataka tujibiwe kwa wakati na namna tupendavyo sisi.
Pole jitahidi kumueleweshaNdyo lakini kujipa furaha ni lazima ndoa ni furaha si mateso mmoja wenu anapofanya jambo la kuwaleta pamoja kma wanandoa mfurahi pamoja huwezi sema anapoteza pesa vp kma angetoka nalo usiku bila ww kuwepo na akatumia iyo pesa bila ww kuwepo na gari likapakiwa apo ndani mda mwingine nyie wanawake mnakuwa kero na wachungu kama pili pili
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee au nighairishe haka kampango? Maana sijaona hata mmoja anaesemaa kitu positive kidogo nikapata moyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unatemaga tanzanite..kudos[emoji2958][emoji2958]Unaopoingia katika mahusiano na kijana wa mtu huku kichwani mwako ukiwa na ajenda binafsi halafu ukaingia nae katika ndoa kisha ukamlazimisha yeye kuanza kuyapa kipaumbele yale matakwa yako hapo lazima kufeli kutokee.....
Ndoa inakuwa chungu ama haieleweki sababu wenza huingia katika mahusiano na ajenda binafsi na si ajenda shirikishi. Nitakupa mifano, mwanamke anakwenda kuolewa na mwanaume ili apate mtu wa kumtumia kupata matumizi yake ya kila siku, mbaya zaidi kumtumia huyu mwanaume kutatua shida za nyumbani kwao bila ridhaa yake, matokeo yake ni mwanaume kumuona huyu mwanamke ni mwana Apollo, yaani "gold digger", anaanzaje kumpenda mwanamke aliyejiapiza kuwa anampenda kumbe nyuma ya pazia anataka kumtumia.
Unakuta mwanaume ameoa binti kwa lengo la kutumia mwili kwaajiri ya mgegedo ila si kwaajiri ya kujenga familia, huyu dada akishapata watoto kadhaa na muda ukienda anaanza kuchuja mwili wake na kupoteza ule uzuri. Mwanaume anaanza kubadilika taratibu maana alichovutiwa nacho kimeanza toweka plus ameanza kupewa majukumu ya kifamilia....
Kwa kifupi ni " means justify the ends" ,"how you start predicts where you will end up at"
Usianzishe mahusiano kwa unafiki halafu utegemee maisha ya uadilifu au ya upendo wa dhati. Anzisha mahusiano na mtu ambae mwisho wa siku wewe hautakuwa tatizo kwake ila baraka......na at the same time huyu mtu kwako awe ni kila kitu au sehemu kubwa ya maisha yako na sio kitu cha kutumia kujifurahisha ukijua kuna siku utakitupa kama vile hotpot au chupa ya chai.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoa ni investment ujue, hakuna mtu mwenye akili timamu anayependa kuacha investment yake ipotee tu bure bure. Some shoes are too big to fill in....Yaan naumia sana kusikia neno kuachana, huyu dada anapitia kipindi kigumu sana,lakini kuachana kusiwe option jaman
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Nilishawahi mara nyingi tu, sema mkifika huko baada ya nusu saa anaanza kuboa na raha yote inakuwa karaha, utasikia ohoo mbona kama tunapoteza tu hela, siturudi tu nyumbani, mara mbona pesa ya kulipa hela ya bima ya gari unasema huna mpaka tunatembea nalo usiku tu kama wanga alafu hapa tunazipoteza tu bure, mtu gani huna mipangilio ya expenditure zako ! Dah yani kero zinakuwa nyingi mpaka naamuua kwa hasira turudi tu home kwani hapo nakuwa nshakwazika sana.
Dah aisee kumbe tuko wengi sana, tatizo mimi dini hairuhusu, ila kama ningekuwa wa upande ule mapema tu ningerudia maisha yangu ya usela, yani burudani na furaha mda wote, no commitments, no stress, no ishu za leo tukasalimie wakwe, no ishu za baba na mama wanasema mbona kimya sana, no ishu za hiyo nguo uliyovaa haijakupendeza kaibadilishe, ukitoka out hauwazi kumkwaza mtu wala kuangalia angalia saa,
Nilishawahi mara nyingi tu, sema mkifika huko baada ya nusu saa anaanza kuboa na raha yote inakuwa karaha, utasikia ohoo mbona kama tunapoteza tu hela, siturudi tu nyumbani, mara mbona pesa ya kulipa hela ya bima ya gari unasema huna mpaka tunatembea nalo usiku tu kama wanga alafu hapa tunazipoteza tu bure, mtu gani huna mipangilio ya expenditure zako ! Dah yani kero zinakuwa nyingi mpaka naamuua kwa hasira turudi tu home kwani hapo nakuwa nshakwazika sana.
Nimemwambia hata mimi...wife yuko ktk right track [emoji848]Anachokuambia ni kweli kuna matumizi ya lazima na yasiyokuwa yalazima
Nikimuacha huyu sioi tena, maana si kwa stress hiziMkuu vumilia tu, hakuna aliye na unafuu, wote ni wale wale
Sent from my iPhone using JamiiForums
Haaaahaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Tatizo huyu kishabeba mimba tayari, nasubiri ajifungue nimpige chini
Aaaagh[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]....hao ndo zao, sema nini mtatajirika soonSiyo bora hata angekuwa wa kutoka huko, ni wale flat screen
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mingi eeeh?
Ukweli mtupu!si kama yaligoma naona ulikuwa unaomba ukiwa na majibu/mategemeo tayari. Hapa wengi tunakosea tunataka tujibiwe kwa wakati na namna tupendavyo sisi.
Umenichekesha mkuu....vice versa is also true[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwenye ndoa kuna mambo mengi sana.
Kuna wakati mkeo anakuwa rafiki yako.
Wakati mwingine anakuwa adui yako.
Wakati mwingine anakuwa boss wako vice versa is also true.
Wakati mwingine mume unakuwa polisi na mke mfungwa vice versa is also true
Wakati mwingine chumbani kunageuka ulingo wa masumbwi na watoto washangiliaji
Wakati mwingine mnakuwa majirani kila mtu hajui kinachoendelea kwa jirani yake
Wakati mwingine mnakuwa mtu mmoja indivisible being
Wakati mwingine mmoja anakuwa Mtoto na mwingine ni mzazi.
Na haya ndiyo huwa maisha yetu ya kila siku ndoani.
Asikwambie mtu hakuna Kitu kinachoongeza heshima na hadhi ya mtu kama ndoa.
Onyo. Usiulizie matumizi ya hela za mkeo jifanye huoni yanayoendelea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kidogo mnoo... Yaan ni kama hujafanya kitu na huna experience, vumilia vumilia upate cha kuhadithia[emoji23][emoji23]Mingi eeeh?
Kabisa ...she's so correct, kama jamaa anamchukia wife wake kwa maushauri kama haya atakuwa na kasoro si kidogo[emoji848]Nafikiri nimeanza kumuelewa mke wako
Aaaagh[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]....hao ndo zao, sema nini mtatajirika soon
Sent using Jamii Forums mobile app