Nashukuru kiimani yangu kuoa au kuolewa ni kuikamilisha nusu ya dini, ya kupoteza nuru kuzeeka haraka sjaona maybe ndoa zenu zina migogoro isiyokwisha na hazina amani, marafiki zangu wengi walioolewa kabla yangu kama ni uzuri umezidi hasa na mashemeji zangu wako smart na nyuso za kung'aa siri kubwa nilioambiwa kudumu ni kuvumilia na maskilizano ndani, kuheshimiana,kuthaminiana, kuaminiana na kupendana
So mkuu, unajutia why umeoa sababu unazeeka au? I mean kwa majibu haya ni majuto au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]najua moyoni alikua anawatukana tht nyie mnamtaka mke wangu[emoji23]ndo zake..anajitutumuaga ohh hyu mke wangu[emoji23][emoji23]...nilimtolea mahari..blah blah kibao
Sasa hapo ulipotest sipo.Hapa natest mitambo
Niagizie basiSasa hapo ulipotest sipo.
Unakosa vingi kwa ushamba wako...Huyo ajuza hata jero ya banana hana.
Kwenye video kolu[emoji85][emoji85][emoji85]Niagizie basi
Nitest wapiii
Asa hapo unzingua mchepuko wangu... Nauli ya kuja huko laki!Njoo uchukue ATM card ukadraw mwenyewe mama...
Na nivikose tu kwakweli[emoji57][emoji57][emoji57]Unakosa vingi kwa ushamba wako...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe sio mzima wallahKwenye video kolu[emoji85][emoji85][emoji85]
Hapo ndio penyewe sasa kwasababu kumwomba usiempenda ni dhambi. Inatakiwa unaempenda.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe sio mzima wallah
Mimi kabla ya kuoa nilikuwa mtu wa out sana, so mwenzangu hakuwa kivile sana kwenye ishu za out, nikaona huyu atanifaa mana atanidhibiti kama si kunipunguzia ishu za out, we balaa lake baada ya yeye kuchoma ndani, yani siyo udhibiti ule wa speed governor ni hakuna tena ishu za out (mwaka sasa labda nidanganye safari ya kikazi), eti anasema ukisikia hamu ya kwenda out ingia jf mana hiyo ndiyo imekuteka akili.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Video kolu vipiiiShida ndo huanzia hapa... Hebu mkae mezani na waume zenu mkule
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwenye video kolu[emoji85][emoji85][emoji85]
Mfyuuuu hujui yalipoanzia ujue sijaachika mie wala sijakimbia kwenye ndoa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hapo ndio penyewe sasa kwasababu kumwomba usiempenda ni dhambi. Inatakiwa unaempenda.
We vipiiiiiii