Duuu pole mamito😂😂😂😂 yaan siku fqmilia yangu wakisikia nimerudi🤔...wamechukia ww kuliko mm nilivyochukia..dingi alisema wakikuzengua mahakaman weka mwanasheria😂😂ht kesi yenyew haikifika mahakamn...nimeficha sijawaambia kuwa tumeishia kwa mpelrlzi tu...!yaan kifupi wanajua mm ndo sirudi tena..naogopa ht kuona simu zao...hv wanataka nirudi nyumban nijipange upyaaa...naogopa kuwapa mrejesho..hapa laana nainusa kwao👎😢😢😢..!huyu wangu hawez badilika ndo tabia yake tu yaan...yaan akiona sehem napata kahela anaenda kulianzisha😂😂alafu hapo hapo anakuambia nikope bas ht laki 1😂😂😂😂👎👎👎..babu ww ninechoka...nataka nijioe mwenyew nijitunze mwenyewe...mie nimeoa sijaolewa...nimejichokea..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbinguni shoga angu😀😀
Cc@Shunie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan siku fqmilia yangu wakisikia nimerudi[emoji848]...wamechukia ww kuliko mm nilivyochukia..dingi alisema wakikuzengua mahakaman weka mwanasheria[emoji23][emoji23]ht kesi yenyew haikifika mahakamn...nimeficha sijawaambia kuwa tumeishia kwa mpelrlzi tu...!yaan kifupi wanajua mm ndo sirudi tena..naogopa ht kuona simu zao...hv wanataka nirudi nyumban nijipange upyaaa...naogopa kuwapa mrejesho..hapa laana nainusa kwao[emoji107][emoji22][emoji22][emoji22]..!huyu wangu hawez badilika ndo tabia yake tu yaan...yaan akiona sehem napata kahela anaenda kulianzisha[emoji23][emoji23]alafu hapo hapo anakuambia nikope bas ht laki 1[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji107][emoji107][emoji107]..babu ww ninechoka...nataka nijioe mwenyew nijitunze mwenyewe...mie nimeoa sijaolewa...nimejichokea..
Hili tatizo lako linatokana na kumdekeza mkeo
AkuuuuHahahhaha ebu baki uko
Halafu na wewe unakosea sio kila ukigombana na mme wako unawaambia ndugu zako jamani unakosea sana mwisho wa siku wanamchukia tu kama hivyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan siku fqmilia yangu wakisikia nimerudi[emoji848]...wamechukia ww kuliko mm nilivyochukia..dingi alisema wakikuzengua mahakaman weka mwanasheria[emoji23][emoji23]ht kesi yenyew haikifika mahakamn...nimeficha sijawaambia kuwa tumeishia kwa mpelrlzi tu...!yaan kifupi wanajua mm ndo sirudi tena..naogopa ht kuona simu zao...hv wanataka nirudi nyumban nijipange upyaaa...naogopa kuwapa mrejesho..hapa laana nainusa kwao[emoji107][emoji22][emoji22][emoji22]..!huyu wangu hawez badilika ndo tabia yake tu yaan...yaan akiona sehem napata kahela anaenda kulianzisha[emoji23][emoji23]alafu hapo hapo anakuambia nikope bas ht laki 1[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji107][emoji107][emoji107]..babu ww ninechoka...nataka nijioe mwenyew nijitunze mwenyewe...mie nimeoa sijaolewa...nimejichokea..
Andika hapa hebu na mie nifaidikee
Hakika.
ngoja nile..ndo nakula toka jana hapa[emoji21]
Wife hayupo hivyo, kuna wanawake nawaona katika ndo zao. Nachokiamini kama mwanamke unamkuza mwanao bila ya kuwa na baba angalia sana, maana lisauti la mwanaume nyumbani ni tiba kwa watoto wanakuwa na heshima. Sasa kama amezoea sauti ya kike hata akiolewa anakuwa hana hofu.Hapo tunarudi palepale kua ulimlea hivyo toka mnaanzana ulijifanya kumnyenyekea sana
Mpaka siku wakute kajinyonga eeehhhhHalafu na wewe unakosea sio kila ukigombana na mme wako unawaambia ndugu zako jamani unakosea sana mwisho wa siku wanamchukia tu kama hivyo
Wengi wanafel hapa... Ndio maana ndoa zinabaki kuwa ndoanoHakika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hebu hukooo
Halafu meshtukaa, haiwezekani kila mtu anaiponda ndoa humu! Msinitishee nawolewaa na nitaishi kwa amani na furaha kwa jina la Yesu.... Mnataka mpate mautamu nyie tuu eeehh
Eee mwenzangu wakati nakua nilitamani sana kuja kuolewa tena na kabila hiloo nililoolewa nalo Mungu kanipa exactly nilichotaka sasa inabidi nivumilie panda shuka zoteee ili nivikwe taji siku ya mwishoNimecheka mnooo ujue
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chizi weweAkuuuu
Ili nibadili gia angani eeeehhh
@Aspirin fanya hima tuwowanee
Wewe ebu ingia kwenye ndoa kwanza mfyuuuuMpaka siku wakute kajinyonga eeehhhh
Naunga mkono hojaNdoa ni zapaswa kuwa za mkataba