Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,742
- 32,353
Mada za kitomoto zimekuwa nyingi sana.
Nadhani sisi tusiokula tuache tu wanaokula wale, hakuna tunachopungukiwa.
Maana kuna watu toka wamezaliwa wanapiga na hawajawahi pata madhara.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji16][emoji1][emoji1]Wewe huna hela ya kula kitimoto!
nimecheka hadi nimejambaWewe huna hela ya kula kitimoto!
Haaaaaaa