Mada kuu ilikuwa nini hapa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mada kuu ilikuwa nini hapa?

Discussion in 'Jamii Photos' started by jchofachogenda, Jun 21, 2012.

 1. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kutoka kushoto ni waziri wa ujenzi John Magufuli,Mama yake Magufuli na Rais Jakaya Kikwete.Unahisi waliongelea nini hapa?
   

  Attached Files:

  • 097.JPG
   097.JPG
   File size:
   47.8 KB
   Views:
   224
 2. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nashukuru sana mwanagu umempa ulaji na mimi mmenipa magamba, tafadhali usimtose. WABEJA SANA!
   
 3. TajiriMutoto

  TajiriMutoto Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Eti wanasema we dhaifu ni kweli? gangamala kuwa kama mwanangu John
   
 4. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  TajiriMutoto ni dhaifu sana ka mabinti na sasa imemwambukiza kwenye siasa na kutoa maamuzi.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. kijembeee

  kijembeee JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  chondchonde dhaifu usimfundishe mtto wangu tabia mbaya
   
 6. stineriga

  stineriga JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 2,033
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  mwanangu john anafaa kuwa mrithi wako, naomba sana baba upimgie debe akurithi,
   
 7. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,929
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
Loading...