Mada gani 2007 imeku...

Bowbow

JF-Expert Member
Oct 20, 2007
541
31
Wana JF mwaka umekaribia kumalizika Hivyo naleta hii mada kwenu kuona ni mada gani imekugusa kwa mwaka 2007 ili kuweza kuandika walau report ya chapter 10 ya topic zilizogusa wengi Mwaka huu. Mimi nitajitolea kuandika hiyo 1. topic kuanzia January. Mtiririko wa hii thread

1. Toa Mada iliyokugusa mwaka huu 2007(iwe ya siasa, uchumi, jamii, n.k),

2. then toa maoni in Bullet form Hatua gani ichukuliwe

3. Baada ya kupata maoni zitakazoshika nafasi za juu ndio zitakazochukuliwa kuandika report ya Mwaka.

Ni pendekezo tu
 
Back
Top Bottom