SNAP J
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 7,079
- 7,976
Raisi wa Ufaransa Bwana Emmanuel Macron amesarifi kuelekea cnhini Kazakhstan kwa ziara ya siku mbili ambapo alitoka huko ataelekea nchini Uzbekistan.
Akiwa nchini Kazakhstan, Macron anatarajia kukutana na mwenyeji wake raisi Kassym-Jomart Tokaiev na kusaini mikataba mbali mbali ya uwekezaji katika madini ya uraniamu pamoja na kufadhili ujenzi wa nuclear reactor nchini Kazakhstan. Pia watajaribu maswala mengine ya uchumi pamoja na mambo ya usalama.
Ifahamike Kazakhstan ndio nchi unayoongoza kwa uzalishaji wa uraniamu duniani wakati Uzbekistan ikizalisha moja ya tano (1/5) ya madink hayo duniani.
Moja ya matumizi makuu ya uranium ni kuendesha vinu vya kuzalisha nishati ya umeme.
Zaidi ya asilimia 60 ya umeme unaotumika nchini Ufaransa unazalishwa kwa kutumia madini ya uraniamu kutoka katika 56 nuclear reactors zilizopo nchini humo.
Tokea Ufaransa ipoteze ushawishi wake Africa magharibi baada ya mapinduzi yaliyotekea nchini Mali, Burkina Faso, na Niger, mirija yote ya upatikani uraniamu Africa ilikatika, hali iliyopelekea Ufaransa kutuafuta chanzo kingine mbadala.