Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,237
Katika mpango wa kubana matumizi unaofanywa na Serikali ya awamu ya Tano tayari baadhi ya sector zimeagizwa Kuajili watu ambao wana sifa ya Diploma.
Utofauti huo umeanza kutekelezwa na Banki ya Posta na T.R.A ambapo Bank ya Posta imetangaza jumla ya Nafasi 14 za Sales Executive zote zikitaka wahitimu wa Diploma. T.R.A Nayo ilitangaza kazi mapema wiki hii na Kutaka watu wenye sifa ya elimu ya Diploma kujaza nafasi za Tax assistants, Preventive Assistants hizi kazi awali zilikua zina ajiri watu wenye Shahada ya Kwanza sasa hivi wapewa nafasi Diploma.
TANZANIA MPYA TUMUUNGE MKONO RAIS WETU MHESHIMIWA JOHN POMBE MAGUFULI. MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU IBARIKI AFRIKA.