Machozi Yamenitoka Nikimark Midterm

Wape/waambie wasome vitabu au majarida ya kingereza hata kama hayahusu masomo angalau watazoea baadhi ya maneno yanavyoandikwa kwa usahihi BUMIJA
 
Last edited by a moderator:

Inabidi uanzie mbali kama ndo hivyo kuna maana gan ya kuchuja wanafunzi?..kwan huwezi kuniambia mtoto hajui kuandika jina lake wala kusoma alfu utegemee mwalimu wa sekondar ndo akamfundash vyte hvyo akat ilikua anatakiwa awe ameshfahamu kabla y kuingia sekondar.Nando hapo Ujiulze kapitajepitaje kma sio system mbovu iliyowkwa n serekali usifikiri nikitu kirahis kumfundsha mwnafunz nakukuelwa km unavyofikiri
 
ualimu ni kazi ya failures,mwenyewe umeungaunga mara kicertificate,kidiploma nw kidegree unafundisha shule ya kata unakuja kupiga kelele hapa
#kama kazi imekushinda rudi mtaa,mbinu zote ulifundishwa chuo jinsi ya kufundisha wanafunzi
 
Naomba Wadau Muelewe Kua Wanafunzi Hawa Hawafeli Katika Masomo Yangu Tu.Nimejitathmini Ninavyofundisha Najiamini Kua Nimeiva Vizuri.Nilichofanya Nimeaandika Majina Ya Wanafunzi Waliofeli Sana Na Kwenda Kwa Walimu Wa Masomo Mengine Nao Wanasema Washawazoea Na Hawana Solutions Juu Yao.Sasa Nimelileta Kwa Walimu Wenzangu Tupeane Mawazo.Kama Wewe Sio Mwalimu Najua Utaniponda Kua Me Ni Mzembe Na Sijui Kufundisha.Ila Najua Wapo Walimu Walio Na Matatizo Kama Haya Na Watanipa Abc Ili Nisaidie Hawa Vijana Wasiojua Kusoma Na Kuandika,nb Sekondari Hatufundishani Kusoma Na Kuandika Mana Mda Ni Limited.Na Hiyo Ni Kazi Special Kwa Waliosomea Shule Za Msingi Kwa Walimu Wa Madarasa Ya Awali.
 
Watu darasa la saba ni kama wanapitaa tu maana hakuna haja ya mtihani tena wa darasa la saba halafu mnataka mtu akafundshwe kusoma na kuandika secondary mi nakuonea huruma sana mtoa mada pole sana sir/madam.
 
ualimu ni kazi ya failures,mwenyewe umeungaunga mara kicertificate,kidiploma nw kidegree unafundisha shule ya kata unakuja kupiga kelele hapa
#kama kazi imekushinda rudi mtaa,mbinu zote ulifundishwa chuo jinsi ya kufundisha wanafunzi

Na Kupm Kwa No 0759063942,tuonane tuonyeshane vyeti mimi na wewe.ili ujue sijafeli na sijaunga na sijawai feli na kote nimepata division nzuri tu.Kaka Najiamini Mana Niliupenda Ualimu Na Sijaingia Tu
 
ualimu ni kazi ya failures,mwenyewe umeungaunga mara kicertificate,kidiploma nw kidegree unafundisha shule ya kata unakuja kupiga kelele hapa
#kama kazi imekushinda rudi mtaa,mbinu zote ulifundishwa chuo jinsi ya kufundisha wanafunzi

Bila shaka Elimu yko hijakukomboa kutoka kwenye ujinga we n mavi matupu kichwani..usifikir kila aliyefel n mwalimu..na hao unaodhan wameungaunga ndo wamekua walimu bora n wazuri..
 
Hivi kweli spelling waje kufundishwa sekondari??? nini maana ya kuwepo shule za msingi kuanzia darasa la kwanza hadi la 7???
huyu mwalimu amfundishe spelling ama "History"??
 
Mimi Sio Mhuni Na Hata Avatari Yangu Ni Ya Kweli Na Jina Ni La Kweli.Naomba Walimu Ndo Wachangie Na Kama We Sio Mwalimu Hii Mada Haikuhusu Nenda Kachangie Mada Ambazo Una Ujuzi Nazo
 
Hivi kweli spelling waje kufundishwa sekondari??? nini maana ya kuwepo shule za msingi kuanzia darasa la kwanza hadi la 7???
huyu mwalimu amfundishe spelling ama "History"??

Ni Kweli Mdau,manake Mtu Unajitoa Mda Wako Na Unawakusanya Wao Pekee Uende Slow Na Unatumia Hadi Swahili Lakini Tatizo Ni Kubwa Manake Hawana Idea Na Means Of Communication.
 
Ukiwa kama mwalim inabidi ufanye jitihada ili uondoe hii hali, sasa mwalim unalia lia hao wanafunzi wafanyeje??
 
mim nilijua kuandika kisw/eng na kusoma darasa la nne kipindi hicho kulikuwa na mchujo ulikuwa unapiga kitabu kwel si mchezo ukifeli chini ya daraja unarudi nyuma Siyo kama sa hvi jk kauwa elimu
 
ualimu ni kazi ya failures,mwenyewe umeungaunga mara kicertificate,kidiploma nw kidegree unafundisha shule ya kata unakuja kupiga kelele hapa
#kama kazi imekushinda rudi mtaa,mbinu zote ulifundishwa chuo jinsi ya kufundisha wanafunzi

kwahiyo walimu hata huko chuo waliposoma napo waliofeli ndiyo walipewa nafasi ya kuja kufundisha??
kwahiyo wewe "uliyefaulu" (japo nina mashaka) ulifundishwa na aliyefeli na ukaweza kufaulu??
 
Ni Kweli Mdau,manake Mtu Unajitoa Mda Wako Na Unawakusanya Wao Pekee Uende Slow Na Unatumia Hadi Swahili Lakini Tatizo Ni Kubwa Manake Hawana Idea Na Means Of Communication.

Hili siyo tatizo la leo...ni ugonjwa uliolelewa ukaota mizizi kwa muda mrefu toka huko shule za msingi.
 
Ukiwa kama mwalim inabidi ufanye jitihada ili uondoe hii hali, sasa mwalim unalia lia hao wanafunzi wafanyeje??

Nafanya Juhudi Ndo Mana Naomba Ushauri Wako.Mana Kila Mbinu Natumia Na Mitihani Nawatolea Ambayo Ina Vigezo.Na Ukumbuke Kua Wanafeli Masome Yote Sio Ya Kwangu Tu
 
Ukiwa kama mwalim inabidi ufanye jitihada ili uondoe hii hali, sasa mwalim unalia lia hao wanafunzi wafanyeje??

Mkuu sekondari siyo tena sehemu ya kwenda kuanza kumshikia mwanafunzi kalamu au kumfundisha namna ya kuandika speling! we unajua jumla ya topic za masomo yote ya kidato cha kwanza? na mwalimu anachukua dk ngapi kwa kipindi kimoja? huo mda wa kuanza kumfundisha tena mwanafunzi kuandika spellings atautoa wapi wakati alitakiwa awe tayar ameshafahamu akiwa huku primary! kama ndiyo hvyo basi hamna haja ya kuwa na primary school
 
kwahiyo walimu hata huko chuo waliposoma napo waliofeli ndiyo walipewa nafasi ya kuja kufundisha??
kwahiyo wewe "uliyefaulu" (japo nina mashaka) ulifundishwa na aliyefeli na ukaweza kufaulu??

KAKA NINA HONOURS YA UDSM,Kama unabisha nakupm kwa 0759063942.Sijafeli Popote Tangu Olevel Na A Level.
 
Jarbu kufanya settings za simu yako vzr ili uandike vzr. Maana kila ukianza na sentensi ,unaanza herufi kubwa. Maybe this is a problem.
Njia ingine wewe jitolee tuu kuwafundisha maaana ndyo kazi yako sasa ukiacha kazi ndyo solution ya kuwasaidia hao watoto. ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…