Machotara na Mahzibu, Zanzibar ni nchi ya waafrika

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
9,784
20,154
Haya maneno nayakumbuka sana haswa kwenye sherehe za mwaka jana za mapinduzi
Hivi ccm mtaacha ubaguzi lini?
Siku zenu zinahesabika siku hichi chama kitapoondoka madarakani mengi yatajulikana
Chama kilichojengeka juu ya misingi ya ukabila ubaguzi na ukanda ni hatari sana
 
Back
Top Bottom