Macho yanawasha sana nini dawa wadau

TAFUTA MTAALAMU wa MACHO akusaidie......

*SIKU NYINGINE JIFUNZE JINSI YA KUJIELEZEA VIZURI ILI UELEWEKE*
 
Usitumie dawa za macho ovyo ovyo ni vizuri kukuona daktari wa macho kuna watu walishapoteza uwezo wa kuna kwa matumizi yasiyo sahihi ya sawa za macho
 

Chunguza sabuni au mafuta unayotumia
Na ujitahid kama ni sabuni isiguse kope za macho na mafuta unaweza kubadilisha kwa usoni kama ndo sababu ukigundua
Pia chunguza na vyakula mf Samaki
 
usitumie sana smart phone au computer screen kwenye mwanga hafifu, afu fanya mazoezi ili uongeze mzunguko wa damu kwenye macho.
 
Hiyo ni allergy na mara nyingi dawa hutumika za aina tofauti ikiwepo iliyotajwa na lopinavir nalipenda jina lake ni ARV inaitwa hivyo....anyway joking ... hivyo kamuone dr wa macho ataona aina ya dawa inayofaa pole sana mjukuu wangu ana hiyo shida anatibiwa pale regency
 
Back
Top Bottom