Kuna mtu huwa namuambia mara kibao tu kuwa ana macho ya ki player, halafu huwa anahisi natania lakini huwa nakuwa very honest..!!
I had this friend of mine, alinitumia picha ya his new chic, kumtazama tu machoni nikaona kabisa hajatulia,
Wala sikutazama mavazi sababu alikuwa amevaa very casual, kuna namna tu niliona kwenye wajihi wake..!
I swear to Almighty God, haikupita hata muda mrefu alimfumania that girl kitandani kwao kabisa, tayari akiwa ameshazaa naye, na wakati huo katoto ni kachanga..
Anakuja niambia, nikamjibu, niliona tu yale macho toka first day umenitumia picha kuwa hajatulia, but there ain't way ningekuambia kitu kama hicho kwa mtu uko unampenda si ungeniona tu niko na wivu?
So, hicho kitu kipo sana tu kwakweli..!!