Ila Kuna watu macho yao huwa yamelegea na kurembua mda wote ndio asili yao hao unawaweka kundi gani?Macho yasiyo tulia..
Kila ukiona mwanamke unamtazama Kwa matamanio..
Kama ni mwanamke akiona wanaume anwalegezea macho..wanaume tofauti tofauti..
Ndo macho ya uzinzi...
Kama mtoto anapoona muuza ukwaju anapita.
Au wauza pipi wanapita
Utulivu zero
Kama Una macho hayo halafu kutwa unatazama wanaume tukueleweje?Ila Kuna watu macho yao huwa yamelegea na kurembua mda wote ndio asili yao hao unawaweka kundi gani?
Akiwa mdada anakua na macho ya genye, ukute yanakua na wekundu wekundu fulani hiviiiIla Kuna watu macho yao huwa yamelegea na kurembua mda wote ndio asili yao hao unawaweka kundi gani?
Watoto na ice cream za ukwaju ule uchu ni balaa😂Macho yasiyo tulia..
Kila ukiona mwanamke unamtazama Kwa matamanio..
Kama ni mwanamke akiona wanaume anwalegezea macho..wanaume tofauti tofauti..
Ndo macho ya uzinzi...
Kama mtoto anapoona muuza ukwaju anapita.
Au wauza pipi wanapita
Utulivu zero
The boss Kuna watu wamezaliwa hivo tu hata akimwangalia yoyote bila kujali jinsia yoyote macho yako hivo tu, Sasa mtu huyo afanyeje sasa, maana sio mda wote utakuwa na simu Kuna mda utakuwa na watu au ofisini, so ku judge mtu hivo not fair oohKama Una macho hayo halafu kutwa unatazama wanaume tukueleweje?
Why usitazame away?Au uwe busy na simu yako?Unatazama wanaume na tabasam juu..
Kama sio ukahaba ni nini?
Akiwa mdada anakua na macho ya genye, ukute yanakua na wekundu wekundu fulani hiviii
Je swali kwako wewe una tabia hzo au?Habari za asubuhi WanaJF?
Leo nataka kujua ukweli wa hiki kitu, utamjuaje mtu mzinzi kwa kumwangalia machoni? Ushawahi kuitwa mzinzi na mtu asiyekufahamu kwa kukuangalia usoni?
Kwa upande wangu hii kauli niliwahi kuambiwa na boss wangu wakike miaka miwili iliyopita, tulikuwa tunaongea kuhusu masuala ya maisha lakini nikashangaa unachomekea hii kauli" macho yako yamekaa kizinzi" sikujibu kitu zaidi ya kutabasamu tu, siku nyingine nilikutana na dada njiani nikaanza kumzingua, akaniambia hanitaki coz naonekana ni mzinzi, maoni yenu tafadhali juu ya hii perception.
California love
Huwa wana vaa miwani.The boss Kuna watu wamezaliwa hivo tu hata akimwangalia yoyote bila kujali jinsia yoyote macho yako hivo tu, Sasa mtu huyo afanyeje sasa, maana sio mda wote utakuwa na simu Kuna mda utakuwa na watu au ofisini, so ku judge mtu hivo not fair ooh
Ngoja aje uyu atuambie DavetHabari za asubuhi WanaJF?