Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,051
Asubuhi ukikutana lazima aone aibu na anaweza kukimbia kabisa msikutane hata kukununia kabisaMkuu kawaida ya hawa watu hata kama umemuona live wee kausha
Asubuhi ukikutana lazima aone aibu na anaweza kukimbia kabisa msikutane hata kukununia kabisaMkuu kawaida ya hawa watu hata kama umemuona live wee kausha
Na ukijitia kumuumbua anakuvurugaAsubuhi ukikutana lazima aone aibu na anaweza kukimbia kabisa msikitane hata kukununia kabisa
Wala usimuumbue anajishitukia mwenyeweNa ukijitia kumuumbua anakuvuruga
Kabisa mkuu na mara nyingi hakuangalii usoni
Wewe nikukazia pale ulipomuona Neno linamchoma, usiku mwema mkuuKabisa mkuu na mara nyingi hakuangalii usoni
Ukilala chali jicho la tatu lipo kwenye paji la uso kwahiyo linakuwa active hasa usiku.Tupe ufafanuzi kwann ukilala chali na sio kifudifudi
Nakubaliana na wewe kiongozi
Mara nyingi nimekua nikiona mambo mengi sana kupitia njia hii ya jicho la tatu
Kuna kipindi niliwahi kumuona mtesi wangu akija pale kitandani ghafla nikampiga kofi, kilichofuata alinipiga makofi mfululizo hadi nikashtuka kutoka usingizini
Acheni Mungu aitwe Mungu









Mtu yupo serious wewe unacheka!
Aiseee umenipa kicheko cha kuanza nacho 2021
NajifunzaKwaiyo Mkuu wewe yako UNAIJUA?