Yanii ile nimesikia Kuhusu mijusi na vijiwadudu gani sijui..Kila kitu unachokiona , magari maghorofa na tenkonologia kubwa ni matokeo ya ubongo , yani wazo
Hatari sanaKUCHEZA KWA JICHO LA KUSHOTO.
1)Likicheza upande wajuu mara Moja basi ni dalili ya kupungua au kutokukamilika mipango Yako mfano ulikuwa na mpango wa kupata 2000 utapata 1000.
2)Kucheza mara mbili upande wajuu nidalili kuwa yatatokea mapungufu kati yako na mkewako au mume wako au mpenzi wako.
3) Likicheza mara tatu upande wajuu ni dalili ya kupotea furaha katika nyumba Yako wewe na family yako au kazini kwako.
4) Likicheza mara nne upande wajuu ni dalili ya Jambo ambalo litahusisha familia nzima yaani wazazi wako na wewe na family yako jambo hili huenda ni la heri njema au furaha.
5)Likicheza zaidi ya hapo basi ni kuharibika Kwa kazi zako siku Ile au inayofuata.
6)Likicheza upande wa chini jicho la kushoto mara Moja ni dalili ya kutoka Kwa bosi wako zikiwa mbaya au nzuri.
7) Likicheza mara mbili Kwa chini ni ishara ya watu unaoshirikiana nao kwenye kazi zako.
8) Likicheza mara tatu ni habari juu ya kazi zako zikiwa mbaya au nzuri.
9) Likicheza mara nne na kuendelea ni aibu .
10) Likicheza lote ni mfano mbaya katika shughuli zako.
Mivurugano na swaga tu
Maninaaaa 😂 😂 😂 😂 🙌Kuna macho na kuna JICHO LA TATU.
JICHO LA TATU likicheza unatafuta MUWA mkubwaaa unaupiga mwingiii, ni mwendo wa juu chini, juu chini, juu chini, ukitoka hapo JICHO limesuuzikaaaa kwatuu unampa asante BAMTU!
Kama ni MACHO umerogwa na shangazi yako.
Cc: Mbaga Jr Poor Brain
OkItakuwa anazungumzia Jicho la tatu kiroho
Hahaha inabidi tumwombe Mungu misusing itoweke dunianiYanii ile nimesikia Kuhusu mijusi na vijiwadudu gani sijui..
Siku nimekaa sehemu naona mijusi miwili kama inapigana hivi mjusi mmoja akadondokea maeneo nilipokaa ambapo niliambiwa Ukiona hivo jua kuna hatari kubwa itatokea especially Kuhusu kifo! 😞😞😭😭😭😭😭!
Two weeks mbele sweetmom died dahhhhh!!! 😭😭🕯️🕯️🕯️🕯️🕯️
Nikakumbuka ile mijusi kupigana. Kujua hilo Imeniathri kinoma kiasi Kwamba saivi nikiona mjusi/ mijusi tu nakwepesha macho haraka sana nakukemea shindwaaa katika jina la Yesuu!!
Hivi vitu 🙌🙌🙌
Cc Smart911
Mimi nikiwa nanyelewa na baadhi ya magonjwa kama mafua jicho linaanza kucheza kabla sijaugua. Kwa kifupi jicho likicheza najua kuwa mwili wangu hauko katika hali nzuri.Macho kucheza kulia au kushoto au mdomo upande wa juu huwa ni kiashiria cha nini?
Mfano Unakuta mtu amekuja kufanya mazungumzo nami ghafla hizo hali zina anza hiyo inaashiria nin
Au umekaa tu umetulia jicho linacheza je ni viashiria vya hali hatari
Imani pasipo mashaka yoyote ndani ya wazo huwa inafanya manifestation ya kitu fulani Dennis Robert Shughuru kama hafanyi masihara usishangae akawa raisi wako😅
Muscle spasm,kula karanga mbichi,una upungufu wa sodiumMacho kucheza kulia au kushoto au mdomo upande wa juu huwa ni kiashiria cha nini?
Mfano Unakuta mtu amekuja kufanya mazungumzo nami ghafla hizo hali zina anza hiyo inaashiria nin
Au umekaa tu umetulia jicho linacheza je ni viashiria vya hali hatari
Muscle spasm, upungufu wa sodiumJamani kaeni nae karibu maana kama ni medical explanation inasema msongo wa mawazo...hili ni tatizo tusije kumkosa kijana mwenzetu na nguvu kazi ya taifa
Robati ndonani tena!????Imani pasipo mashaka yoyote ndani ya wazo huwa inafanya manifestation ya kitu fulani Dennis Robert Shughuru kama hafanyi masihara usishangae akawa raisi wako😅
Kuna imani kuku kuwika mda ambao sio kawaida ni ishara mbaya , ila now kuku wa chotara wanawika mpaka saa sita usiku🤣Robati ndonani tena!????
bila hawa watu kwenye hii comment huu si uzi Poor Brain Mbaga Jr mzabzabKuna macho na kuna JICHO LA TATU.
JICHO LA TATU likicheza unatafuta MUWA mkubwaaa unaupiga mwingiii, ni mwendo wa juu chini, juu chini, juu chini, ukitoka hapo JICHO limesuuzikaaaa kwatuu unampa asante BAMTU!
Kama ni MACHO umerogwa na shangazi yako.
Cc: Mbaga Jr Poor Brain
Kimila kwenye macho kucheza na ishara, wengine ni vice versa.Swali lako la “macho kucheza” ni la kawaida sana, hasa katika jamii nyingi za Kiafrika, ambako watu huamini kuwa ni ishara fulani ya tukio linalokuja. Hii hali inaweza kufafanuliwa kwa njia mbili: kisayansi na kimila/kibashiri. Hebu tuangalie zote mbili
🔬 Maana ya Macho Kucheza KISAYANSI (Medical Explanation)
Macho kucheza — hasa palepale kwenye kope au sehemu ya juu ya jicho — huitwa eyelid twitching au myokymia kwa kitaalamu. Sababu zake zinaweza kuwa:
1. Uchovu wa macho / Kutazama sana screen
Kama unatumia simu au kompyuta muda mrefu, misuli ya macho inaweza kuchoka na kuanza “kucheza”.
2. Msongo wa mawazo (stress)
Watu wengi wanapokuwa na mawazo mengi au wasiwasi, macho huanza kucheza bila kujua.
3. Ukosefu wa usingizi
Kukosa usingizi wa kutosha kunaathiri mfumo wa neva na kusababisha macho kucheza.
4. Upungufu wa madini mwilini (kama magnesium)
Upungufu wa virutubisho kama magnesium unaweza kuathiri neva ndogo na misuli, na hivyo macho kucheza.
5. Kunywa kafeini (chai, kahawa, soda n.k.) kupita kiasi
Vinywaji vyenye kafeini huamsha neva na kusababisha misuli ya jicho kutikisika..
Maana ya Macho Kucheza KIMILA au KIBASHIRI (Traditional Beliefs)
Katika tamaduni mbalimbali, macho kucheza huchukuliwa kama ishara ya tukio linalokuja. Hizi tafsiri hutegemea jicho gani linafanya hivyo:
👁 Jicho la Kushoto Kucheza
Inaaminika kuwa kuna jambo baya linaweza kutokea — mfano huzuni, msiba au kikwazo fulani.
Kwa wengine, hasa wanawake, huaminiwa kuwa ni ishara ya kupata taarifa mbaya.
👁 Jicho la Kulia Kucheza
Watu wengine huamini ni ishara ya habari njema — kama kupata fedha, mgeni mzuri, furaha n.k.
Kwa baadhi ya wanaume, huaminika kuwa ni ishara ya mafanikio au habari nzuri.
Kama ng'ombe anavyotetemesha ngozi kufukuza nziYanachezaje
Sawa mkuuKama ng'ombe anavyotetemesha ngozi kufukuza nzi