Macho kama kigezo cha kujiunga na Jeshi

Macho kama kigezo cha kujiunga na Jeshi

benaboy

Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
42
Reaction score
32
Wakuu wa kaya nauliza hivi kwenye lile kadi la vipimo vya macho ikiwa huoni vizuri mistari ya chini jeshini HUINGII??

Na je MACHO ili yake kigezo cha kukataliwa jeshini inatakiwa uwe na shida kwa kiasi gani kulingana na lile chart la vipimo?
 
kuhusu kwa kiwango gani bado ni swala lao binafsi,ila askari hawezi kutumia miwani kabla hajaajiriwa ni lazima awe fiti,kama yatafia kazini sawa.
 
Inabidi wafanye hvyo tu mkuu maanakuna wengine wakivua miwani wanaona wenge tu, sasa ukiwa na watu kama hao 10 tu kwenye combania au section yako, aloo section kamanda umesiha

Maana wakiwa kwenye medani ya vita ikitokea zikapotea au wakapoteza askari baadhi tu miwani huoni unaongeza vipofu hapo
 
Back
Top Bottom