Macho hayana pazia!

Pape

JF-Expert Member
Dec 11, 2008
5,488
79
i893_flightsingapore.jpg

i920_SYDD3651.jpg

i921_SYDD3655.jpg

i919_sDSC7271.jpg

i918_sDSC7266.jpg

i917_sDSC7262.jpg

i916_DSC7198.jpg

i915_380Takeoff4.jpg

i914_380Takeoff3.jpg

i913_380Takeoff2.jpg

i912_380Takeoff1.jpg

i911_060.jpg

i910_049.jpg

i909_047.jpg

i908_033.jpg

habari ndiyo hiyo!
 
Miundombinu iliyokwenda shule hiyo.....Sio kama Bongo Dar es Salaam, barabara hazina hata mitaro ya kutitirisha maji ya mvua!

Aibu na iwe juu yao viongozi wetu wa jiji, serikali za mitaa na serikali kuu!
 
Ehh bwana wee, Singapore wana A380 tayari?

Kibunango, unaona upana wa barabara Mkuu? Siyo unasema Mita 21 zinatosha.

Hivi hiki kiwanja cha ndege cha wapi? Paris sikumbuki wana barabara inapita juu au chini ya highywa.....
 
Nimeona...
 
Nimeona...

Kama umeona basi poa sana.

Mwezi wa nne naingiza Zanzibar. Itabidi tu unipatie simu yako ili tuje tupate Ze Bia na Joice la tende kama kawaida na tuendelee na story.

Ila hawa wenzetu, wengi wao ni maendeleo ambayo kuna watu kwa kweli damu na jasho limemwagika si mchezo. Waone Wafaransa nao na Airport lao. Wao Highway ipo chini ya uwanja. Faida yake ni kuwa kutoka Airpot kwenda sehemu nyingine ni haraka sana sana.
 
Attachments

  • Charles DE.JPG
    Charles DE.JPG
    100.9 KB · Views: 58
watanzania hatujalogwa, na dawa ya matatizo yetu itapatikana tu!
 
WaTZ kwa sasa (I mean 2000s-hadi 2100s) hatuhitaji vitu sosphisticated kama hivi maana tuna ardhi ya kutosha. Tunahitaji vitu basic kama maji, umeme na barabara zinazopitika mwaka mzima.
 
Tukiendelea kuwaachiwa wanasiasa wafanye maamuzi ya kitaalamu hatutafika kwenye maisha bora kama hayo! Hata vitambulisho vya Uraia vimetushinda, lol! DRC na vita yote ile kila raila ana "identification". ID Card.
 
Tunahitaji vitu basic kama maji, umeme na barabara zinazopitika mwaka mzima.
unamtazamo gani na suala la maji jinsi yalivyo ya shida hapa TZ, je vipi suala la foleni mabarabarani? ndiyo kusema sisi tumeumbiwa foleni? kwanini tusijenge barabara za juu na chini kupunguza msongamano wa magari? Jana kuna mwananchi Dar alikuwa anaelekea hospitali na kwasababu ya foleni alijifungulia akiwa bado hajafika hospitalini! unalionaje hilo?
 
WaTZ kwa sasa (I mean 2000s-hadi 2100s) hatuhitaji vitu sosphisticated kama hivi maana tuna ardhi ya kutosha. Tunahitaji vitu basic kama maji, umeme na barabara zinazopitika mwaka mzima.
Abdulhalim,

ningekuwa mimi ni Malecela na wewe ni Sophia Simba... ningekwambia yale maneno
 
unamtazamo gani na suala la maji jinsi yalivyo ya shida hapa TZ,

Maji sio shida ndugu, shida ni kuyasafisha na kuyapelekwa majumbani na kwingine yanapohitajika. Ndio maana tuna mito, maziwa na bahari. Hivi vyote ni vyanzo vya maji hivyo si kweli kuwa kuna shida ya maji.
[/QUOTE]
 
je vipi suala la foleni mabarabarani? ndiyo kusema sisi tumeumbiwa foleni? kwanini tusijenge barabara za juu na chini kupunguza msongamano wa magari? Jana kuna mwananchi Dar alikuwa anaelekea hospitali na kwasababu ya foleni alijifungulia akiwa bado hajafika hospitalini! unalionaje hilo?

Binafsi kama ningekuwa na-call the shots, ningeamuru kwanza uchunguzi ufanyike kujua mtawanyiko wa wasafiri na makazi. Then, ningeamuru kujengwa kwa metro, na kulimit movement ya magari binafsi na kuimarisha usafiri wa magari ya umma unaochukua watu wengi, kulingana na mchanganuo wa kitaalam. Baada ya hayo nadhani tutaelekeza akili zetu kutatua matatizo mengine.
 
Maji sio shida ndugu, shida ni kuyasafisha na kuyapelekwa majumbani na kwingine yanapohitajika. Ndio maana tuna mito, maziwa na bahari. Hivi vyote ni vyanzo vya maji hivyo si kweli kuwa kuna shida ya maji.
[/SIZE]
[/QUOTE]
Sasa kama hatuwezi kuyasafisha ndio shida yenyewe hiyo,halafu hivi hujasikia kuwa mito(eg Ruvu) umekauka?
Nadhani Tanzania kila kitu ni shida ,hatuna chenye nafuu hata kimoja.Ndio maana inabidi tuangalie priorities kianze kpi kutatuliwa.
 
Nadhani kuna tatizo kidogo katika kufikiri kwako, samahani sana lakini! hebu isome vizuri ile post yangu, kisha ukumbuke mambo mawili matatu yaliyotokea hivi punde hapa TZ.
 
Sasa kama hatuwezi kuyasafisha ndio shida yenyewe hiyo,halafu hivi hujasikia kuwa mito(eg Ruvu) umekauka?
Nadhani Tanzania kila kitu ni shida ,hatuna chenye nafuu hata kimoja.Ndio maana inabidi tuangalie priorities kianze kpi kutatuliwa.[/QUOTE]

Ni kweli mambo mengi ni shida, lakini shida nyingi ni za kujitakia. Kukosa mipango ni kujitakia shida. Maji ya Ruvu lazima yakauke kwa sababu watu wengi wanalima siku hizi huko Morogoro na Pwani ambako mto unakusanya maji. Hii inasababisha mababdiliko ya kiwango cha maji yanayoingia mtoni. pia ikumbukwe kuwa dunia nzima inaongelea kuhusu mabadiliko ya hali ya hewa. Huwezi ukaepuka matatizo yanayosababishwa na emissions za Wachina au Wahindi. Cha kufanya ni sisi wenyewe kuwa na MIPANGO ya kuondoa utegemezi bila ya kuwa na njia zetu za kujinasua iwapo hali inabadilika.

Pia mitambo ya kutoka Ruvu ilijengwa kwa ajili ya population ya miaka zaidi ya 30 nyuma, na hakukuwa na kujali kuwa siku za usoni mahitaji jijini yataongezeka.

Tungekuwa na mipango hata tusingang'ang'ana na Ruvu, kukosa mipango ndo kunasababisha tulielie kila siku Ruvu inapokauka.
 
Kama umeona basi poa sana.

Mwezi wa nne naingiza Zanzibar. Itabidi tu unipatie simu yako ili tuje tupate Ze Bia na Joice la tende kama kawaida na tuendelee na story.
Duh! Karibu sana, bahati mbaya sitokuwepo kipindi hicho hapo Zenj... Anyway ni vema vilevile kuwafikilia akina ngosha na taxi zao hiki hapa chini ni kituo chao cha kusuburia abiria. Ni chini ya mti
Vilhelmiinan%20kuvat%20172.JPG

Ehh bwana wee, Singapore wana A380 tayari?

Kibunango, unaona upana wa barabara Mkuu? Siyo unasema Mita 21 zinatosha.

Hivi hiki kiwanja cha ndege cha wapi? Paris sikumbuki wana barabara inapita juu au chini ya highywa.....

Sikonge,
Singapore Airline ndo wa kwanza kufanya safari ya A380 duniani.

The World's First A380 Flight, SQ380, Sydney to Singapore, 26 October, 2007

Kwa picha zaidi ya safari hiyo ya kihistoria gonga HAPA
 
Back
Top Bottom