Machinjioni

Kama mtu anameza samaki kabisa na maganda yake kwa nini amuogepe nyoka wakati samaki na nyoka ni dugu moja?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] natania bwana usije ukatapika bure
Kutapika siwezi na kuacha kula sitaweza nikiiona kwenye jiko inatoa moshi jamani me naona sijui nyama za mbwa nalishwa sana
 
Kutapika siwezi na kuacha kula sitaweza nikiiona kwenye jiko inatoa moshi jamani me naona sijui nyama za mbwa nalishwa sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] we jilie tu, wanasema kimwingiacho mtu hakimtii unajisi bali kimtokacho!
 
Mimi nakula nyama yoyote ile ila tu usiniambie wakati wa kula hata ya MTU ikipita kwenye 18 yangu mi nababua tu uzuri wa tumbo halina kioo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…