Machinjio ya Nyama: Chunya

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
382442_472313102796205_10774788_n.jpg
 
Ni muumba wetu tu anayetulinda,hawa jamaa wa machinjioni mara nyingi kwao usafi huwa ni sifuri na hawajali kabisa afya ya mlaji....
 
Ndio maana niliamua kuwa vegetarian

Na kama upo dar halafu unakuwa vegetarian siku utakapobaini kuwa hizo mboga zinamwagiliwa na maji ya aina gani na hata nyingine zinachumwa wapi haswa wakati wa mvua....utaishia kwenye RB...(Rice Beans)....
 
.. ha! ha! ha! .... Mbuzi Mzee unaona sehemu hiyo sio haki kwa wewe kuchinjiwa?!! ...

usiogope mkuu ... wewe umeshakuwa Mbuzi Mzee kwa hiyo hutachinjwa! .... teh! teh teh!
 
Na kama upo dar halafu unakuwa vegetarian siku utakapobaini kuwa hizo mboga zinamwagiliwa na maji ya aina gani na hata nyingine zinachumwa wapi haswa wakati wa mvua....utaishia kwenye RB...(Rice Beans)....

Hilo ni tatizo dogo kuliko ya nyama, jamii ya beans nakula kwa wingi lakini maharage occassional, si unajua matatizo yake :)
 
Lakini majani tuu pekeyake nayo sio issue, Inabidi uchanganye Pweza kidogo, Nyati, Kisamvu etc...

Let me be specific, I am pescatarian. Huwa nakula majani, beans, jamii ya samaki mara nyingine kuku kama kachinjwa nyumbani.
Zaidi ya hapo sili, bongo hii duh utalishwa nyama ya mtu plus hygiene issue matatizo.

Hata ule ndafu mbele yangu....yani nyama sishabikii kabisa.
 
Let me be specific, I am pescatarian. Huwa nakula majani, beans, jamii ya samaki mara nyingi kuku kama kachinjwa nyumbani.
Zaidi ya hapo sili, bongo hii duh utalishwa nyama ya mtu plus hygiene issue matatizo.

Hata ule ndafu mbele yangu....yani nyama sishabikii kabisa.

I will skip red meet for my lunch and go for Fish this afternoon.
 
kibaoni, chokaa, zinza, sinjiriri, madukani, chunya mjini, kiwanja, chunya kati, wota saplai, majengo, nk duuu nimeikumbuka chunya jamani.
 
Back
Top Bottom