Machinga waondoshwa kwa nguvu Mwanza mjini eneo la Makoroboi

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
19,807
31,783
Hali ya sintofahamu imeibuka jijin hapa baada ya machinga kuondoshwa kwa nguvu mjini hapa hasa Makoroboi eneo la msikiti

Maduka yamefungwa na huduma hakuna tena FFU wametenda kila kona ni noma
Naona mama mery tesha anajitaid kumuhalibia mabula ili makonda aje abebe jimbo kiulain
 
Lazima nchi iwe na order na watu wafanye kazi, i mean real kazi,... sio kuachia watu hawazalishi wala kulipa kodi kuvuruga mji kwa kisingizio cha unyonge..
Hongera kwa upande ulioamkia asubuhi ya leo. Umeandika Jambo la msingi kwa UZALENDO bila kuweka Uanaharakati. I am proud. [HASHTAG]#Uzalendo[/HASHTAG]
 
Ngoja wasikie maumivu ya sindano, Ila hapa ni zile Movie za vichekesho tunaangalia kila mchekeshaji anajitahidi achekeshe sana.
 
Nikisikia watu wa Lake zone wanasoma namba huwa nafarijika kiaina moyoni, ule ushabiki wa kupiga kura waone raha yake, na 2020 wampigie kishabiki tena
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom