Machinga wa San Fransisco!!

Machinga wa San Fransisco!!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,899
Reaction score
15,127
Image.aspx


Hii ni kama miaka 100 huko Frisco(San Fransisco) na miaka hiyo Machinga na kuuza vyakula na bidhaa barabarani kama Bongo ya sasa!
 
Du! Hawa hapo tayari walikuwa wasafi halafu mtaa mzima maghorofa, sisi kuwa San fransico ya leo kwa kukadiria ni baada ya miaka 150-200 hivi. Ndoto ya maisha mazuri kwangu ndo kwishney, hizo zitakuwa zama za vining'ina.
 
majengo mazuri yamekuwepo tangu zamani; kuna majengo hapa Dar yenye umri wa miaka 100 bado yapo imara.
mji wa tanga kuna majengo yenye majengo ya zaidi ya miaka 100 pia hayo hayo maghorofa unayotaka. Nenda kwenye 'thread ya historia picha za zamani" hapa hapa JF upate japo 'mwanga kidogo'

Maghorofa ya kwanza hayakujengwa Ulaya wala Marekani:

Yale mapiramidi ya Misri yalijengwa na watu weusi kama wewe na mimi;
the bottom line: JUHUDI NA MAARIFA.
Du! Hawa hapo tayari walikuwa wasafi halafu mtaa mzima maghorofa, sisi kuwa San fransico ya leo kwa kukadiria ni baada ya miaka 150-200 hivi. Ndoto ya maisha mazuri kwangu ndo kwishney, hizo zitakuwa zama za vining'ina.
 
Du! Hawa hapo tayari walikuwa wasafi halafu mtaa mzima maghorofa, sisi kuwa San fransico ya leo kwa kukadiria ni baada ya miaka 150-200 hivi. Ndoto ya maisha mazuri kwangu ndo kwishney, hizo zitakuwa zama za vining'ina.
Tatizo kubwa sie waswahili usafi si jadi yetu!
 
Hapo kama mtaa wa Kongo, hata gari halina sehemu ya kupita
 
Back
Top Bottom