Machinga kwenye Traffic lights | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Machinga kwenye Traffic lights

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by tz1, Jun 9, 2011.

 1. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #1
  Jun 9, 2011
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Hili linanikera sana,wanakusimamai dirishani,ukiwapotezea kama hujawaona wananza miluzi.
  Ukiwa unaongea na simu bado wapo tu wanachungulia ndani.Na pia ni hatari kwe maisha yao.
   
Loading...