Machinga Big Brother Manzese wajipanga kuzomea

Feedback

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
7,988
4,507
Baada ya kupata habari kuwa KVT watakuwa na maandamano kuanzia Mnazi mmoja na kuishia Manzese Bharesa, nilijaribu kuongea na baadhi ya machinga pale Manzese hasa kwenye soko maarufu la Big Brother lililobomolewa hivi majuzi kupata mawazo yao. Response yake ilikuwa wao wanachotaka ni kujengewa vibanda vyao na kurudishiwa mali zao zilizoporwa na mgambo wa jiji, wamesema kama maandamano yatakuja na mbao za kujengea sawa na kama vipi ni kuzomea mwanzo mwisho. Nikaondoka nikaona niwadokezee members wa JF kitu kitakachotokea kesho.Asanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom