Kwa wale wanaohitaji machine za kukata vitambi, wafike pale Diamond Jubilee Kwenye maonyesho ya bidhaa za China ambayo yataisha keshokutwa tarehe 13/09/2015.
Ukiingia nenda moja kwa moja kwenye mabanda ya mwisho, machine ni za umeme na bei ni 330,000.