mzinga makasini
Member
- Apr 25, 2019
- 32
- 14
Wandugu habar,yapata mwaka sasa niliandika nahitaji machine ya kutotoresha vifaranga nashukuru nilipata,kupitia humu jf,sasa nataka machine ya kutengeneza vyakula vya kuku anaefaham watengenezaji tuwasiliane au msambazaji ani pm samahani kwa usumbufu wakubwa