Machine ya kusaga na kukoboa nafaka.

mozambiqueone

JF-Expert Member
Sep 8, 2014
232
119
Habari ndugu zangu tafadhali tujuzane juu ya biashara ya machine ya kukoboa na kusaga nafaka.
1.Mashine yenyewe; kiwango cha chini kabisa cha fedha cha kuweza kununua machine yenye tija .........
2.Uendeshaji
a. Namna bora ya udhibiti hasa ukiwa mbali na biashara ilipo
b.Eneo sahihi la kuweka machine ni kule kwenye mazao! Ni lazima kuwa hivyo, au vinginevyo
3. Faida
Kwa Wazoefu, mradi huu una faida kweli, au mtu afanye nini ili apate faida ya kutosha.

4.Mengineyo
Ushauri wowote utakaofaa juu ya biashara hii
 
Mimi ndio Nataka kufanya huo mradi, lengo ni kuuza unga ukiwa packed! Pumba nazihitaji Kwa mifugo yangu. Mashine uwe na 5m, Yupo mtu humu ndani anauza hizo mashine. Location, inategemea na wewe but to me kijijini Kidogo ndio kizuri, Mjini mapozi mengi
 
Mzunguko huo ni mzuri, kwani utaweza ku- pack, lakini pia unayo mifugo.
Kwa mazingira yangu bado sitaweza vingine, nategemea baadae kuenda mbele kutumia fursa zake zote

Location: nimekuona, thanks
Mashine yenyewe: 5m, thanks
 
Mungu akubariki, Hakikisha una jengo la kutunzia mahundo na kufanyia packaging! Kila mtu anakula Ugali Kwahio ni lazima unga uuzike tu
 
Back
Top Bottom