Machine ya Kusaga Karanga na machine ya waterpump

Machine ya Kusaga Karanga na machine ya waterpump

matobholo

Senior Member
Joined
Sep 21, 2016
Posts
106
Reaction score
100
Hbr ndugu, nina mpango wa kuanza Kilimo cha bustani ambacho nina Malengo ya kukifanya kwa mwaka mmoja na nusu.

Hivyo nahitaji mwenye uzoefu na waterpumps ili zoezi liwe rahisi , nipate specifications mfano aina flani ni nzuri, inayotumia diesel au petrol na gharama zake.

Pia katika kuboresha thamani ya mazao ya karanga kwa kutengeneza jam n.k sasa ile machine ya kusaga karanga sijui kbs inauzwa wapi tsh. ngapi na gharama zake.

Nitashukuru sana nikipata msaada. Ahsante
 
Back
Top Bottom