Machine ya kukamua mafuta ya alizeti

Kukudume2013

JF-Expert Member
Jan 8, 2013
1,659
733
Mambo yetu wakuu,

Naomba msaada, kwa yeyote mwenye uelewa wa namna ya kupata machine ya kukamulia mafuta ya alizeti pamoja na bei zake. je Hapa Tanzania zinapatikana? Au bora kuiagiza nje? Kama China n.k.

Naomba na pia na kujua bei mpaka machine inifikie.
 
Mi ningetaka kujua namna ya kupata alizeti bei yake na gunia moja utapata mafuta kiasi gani, mashudu kiasi gani.
 
Mambo yetu wakuu,

Naomba msaada, kwa yeyote mwenye uelewa wa namna ya kupata machine ya kukamulia mafuta ya alizeti pamoja na bei zake. je Hapa Tanzania zinapatikana? Au bora kuiagiza nje? Kama China n.k.

Naomba na pia na kujua bei mpaka machine inifikie.
Mkuu utapata hapa hapa Tanzania. Nenda SIDO moshi zinapatikana. Wasiliana na mkurugenzi wake Anthony Lyimo namba 0754286039. Utapata details zote! Mimi nimechukua mashine za kusaga na kukoboa mahindi just a week ago!
 
Back
Top Bottom