Wakuu habari ya leo. Nina gunia zangu za alizeti hapa Dar, natafuta sehemu kwenye mashine naweza kukamua mafuta. kuna mwenye kufahamu wapi naweza kupata huduma hiyo? Asante in advance