Machine Machine Machine Bei bure

UTAISOMA

Member
Joined
Sep 28, 2011
Posts
8
Reaction score
0
Wale wataalam wa ujenzi na mafundi wa furniture naweka mbele yenu machine zifuatazo Machine zinauzwa kwa bei poa: JIG SAW MACHINE IMETUMIKA KIDOGO SANA INAUZWA LAKI. MACHINE IPO DAR



Machine ya kupakia rangi inakuja bila mtungi wa rangi ( ulipotea airport ) mtungi unapatikana dukani kwa bei isiyopungua sh elfu sitini; bei ya machine ni sh 180000
Machine ya kupigia randa ni mpya kabisa haijawahi kutumika inakuja bila box lake lakini nitakupa gurantee ya miezi sita bei yake ni 180000
circular saw nayo ni mpya kabisa bei yake ni sh 200000


Heavy duty drill machine yenye nyundo kabisa machine ni ya umeme inakuna na pack yake bei ni sh 400000 dukani inauzwa kuanzia laki sita
 

Attachments

  • IMG_20171207_145129 - Copy.jpg
    137.3 KB · Views: 50
  • IMG_20171207_145510.jpg
    151 KB · Views: 43
  • IMG_20171209_110516.jpg
    154.9 KB · Views: 37
  • IMG_20171209_110518.jpg
    151.3 KB · Views: 39
  • IMG_20171209_110520.jpg
    153.6 KB · Views: 45
  • IMG_20171209_110543.jpg
    153.6 KB · Views: 48
  • IMG_20171209_110545.jpg
    156.4 KB · Views: 45
  • IMG_20171209_110705.jpg
    218.9 KB · Views: 42
  • IMG_20171209_110713.jpg
    205.5 KB · Views: 43
  • item_XL_23477544_33517423 (1).jpg
    15.7 KB · Views: 39
  • item_XL_23477544_33517423.jpg
    15.7 KB · Views: 36
  • 1422495034.png
    44.2 KB · Views: 47
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…