GE2025 Machifu kuliombea Taifa uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025

GE2025 Machifu kuliombea Taifa uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Machifu 200 wa mikoa tisa ya Kanda ya Kusini, wanatarajiwa kufanya matembezi maalumu mkoani Mbeya, kwa lengo la kuliombea taifa, ili uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, ufanyike kwa amani na utulivu.

Mratibu wa Umoja wa Machifu wa mikoa ya Kusini, Chifu Sad Wabu (Mitondo wa Pili) ameyasema hayo wakati wa mkutano na wandishi wa habari, kuhusu maandalizi ya matembezi hayo pamoja na shughuli zingine zitakazofanywa na viongozi hao


 
Waombe utekaji ukome.
Just imagine kama CHADEMA wangekubali kugombea, wangapi wangekua wametekwa na kuuawa?

Tataitu kalesa
 
Issues za ma chiefs zilifutwa serikalini naona hawamu hii inahuwisha u chiefs kama ni jambo la maana sana kwa Taifa.

CCM hacheni Mambo ya kipumbavu
 
Waombe utekaji ukome.
Just imagine kama CHADEMA wangekubali kugombea, wangapi wangekua wametekwa na kuuawa?

Tataitu kalesa
Chadema wameiponya sana hii nchi. Leo vifo yaweza kuwa vingekuwa vingi sana
 
Waambie waache maigizo, kama walishindwa kuliombea taifa na kuliokoa na makucha ya mjerumani, wataweza mbele ya manyambisi, manyemelaa ya ccm aisee!...
 
Waambie hao wapumbavu hatutaki maombi yao ya majini hayo.

Wametoa makafara saivi nchi nzima kumejaa maajali tu
 
Back
Top Bottom