Machawa kuendelea kuomboleza

Hapana, ni kwa maujanja ya kuwahenyesha manyumbu kinomanoma......si unaona Sasa hivi minyumbu ilivyokosa hoja?!!🀣🀣🀣
Imegeuka kuwa zaidi ya mitahira. Kwa mfano, hivi hapa ndo imeanzishwa mada matata hapa yenyewe.
Machawa mnatakiwa muunganishe eda baba yenu wa kambo kafa
 
Machawa mnatakiwa muunganishe eda baba yenu wa kambo kafa
Ahsante tena kwa kuthibitisha nilichoongea kuwa Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, anawafyodoa vibaya nyie minyumbu......mjefaidhaika, mmepagawa, hamuamini kuwa mmeshindwa🀣🀣🀣
 
Halafu eti ndo mwataka mpewe nchi!
Mshaanzisha uzi na sasa mwademka tu huku CCM wanawazoom tu
🀣🀣🀣
Aisee hiyo mijitu ni mipumbavu kuliko kawaida yaani....kipindi hiki Cha Dr Samia ndo wamejidhihirisha zaidi.
 
Ama kweli Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, ni NOOOMA. Yaani minyumbu ndo imekuwa mindondo kiasi hiki?!!!! Tena mingine mizee kabisa?!!!😳😳😳

Huyu mama hapana aisee!!
Soon utaanza kunisifia na kuniita baba mdogo na first gentleman. Ninaenda kumuoa mama yako. Walai, kitu kiko tayari kunikubalia
 
Soon utaanza kunisifia na kuniita baba mdogo na first gentleman. Ninaenda kumuoa mama yako. Walai, kitu kiko tayari kunikubalia
Sasa punga kama wewe mama yangu si atakutia dole getini tu hata kabla hujaingia ndani?!!😏😏😏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…