Machapisho Agent

drmaxmhozya

Member
Joined
Aug 7, 2020
Posts
51
Reaction score
48
Ni kampuni dogo linalojihusisha Sana na shughuli nzima ya maswala ya uchapishaji pia tunafanya delivering mpaka mkoani je wewe unahitaji vitabu au nakala mbalimbali jibu ni machapisho Agent tunachukua tenda za

Vitabu
Invoice book
Recept book
Delivery note
Calendar
Mabango
Banners
Tisheti

Pia tunatoa huduma ya ufundi wa mashine za maswala ya uchapishaji yaani zinaitwa offset machine Kama wewe unahitaji fundi katika kiwanda chako cha uchapishaji wasiliana nasi

Sisi tunafanya delivering Hadi mkoani kwa garama nafuu Sana usiogope

wasiliana nasi kwa namba
0657709912
popote ulipo machapisho Agent tunakufikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…