Machangudoa wengi wanakaa wapi?

Status
Not open for further replies.
Na huku Kiluvya maeneo gani hii huduma inapatikana wapi??
 

Uko deep kinoma...usisahau kutumia dume .....Ila umesahau pia kuweka na bei ya wastani kwa kila eneo....
 


ok ni hivi,,,,,,,,,
1,rose garden......bar siku hizi imepungua soko........baada ya masai club pale kinondoni
2.hongera bar.....hapo nakuongezeaaa nayo ipo karibu na inasemekana baadhi ya mademu toko chuo cha hufikaga
3.sugar ray nayo nilisahau ila wengi wa sugar ray ni walewale wanaottka bar ya sewa maana pale sewa huanza kuuza kujiuza kuanzia saa 12 asubuhi.....mpaka saa 5 halafu bar ya sewa ikifugwa usiku huu ndo huenda sugar ray

4.magomeni kagera ile baa ya ulaya ulaya....mademu wengi pale ni wa eneo lile lile hushinda pale nao pia kuanzia saa moja asubuhi mpaka saa 3 usiku baada ya hapo hutawanyika kurudi makwaoooo

5.kuhusu mabibo hostel pale karibia na club ya mamba nipe week moja nikifanya utafiti.....ntakwambiaaaa

6.coco beach pale wengi ni wanaotika majumbani kwao ila sio kila anaenda pale ameenda kuuza

7.halafu nilisahau kuweka ile guest and bar house laki si kitu lodge pale kinondoni kwa manyamanya pale unapewa album huku unachagua baada ya hapo unalipia counter..........

nipe muda nikirudi nitaendeleaaaaaa:eyebrows:
 

Mheshimiwa C programming, Shkamoo!
Would you share with me this thesis please. Hiyo analysis sio ya kawaida, najua umetumia muda na resources nyingine nyingi sana kuwa deep kiasi hicho, huenda ndo unamalizia PhD yako ya 'social work and behavioural change'!
 
Last edited by a moderator:

Umefanya utafiti na kuleta dodoso makini... japo unasema sio mdau!!! kwa sasa ......lakini inavyoonyesha tathimini yako wewe ni mdau mkongwe mstaafu (rtd) (miaka ya nyuma) yaani umegusa sokota Temeke ukafika Jolly (katikati ya jiji) ukaenda kuulizia kwa jamaa (sijui wapi?) , ukajua wameokoka, na unazo habari ya kufungwa kwa vyuo .......... ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaa kwi kwi kwi kwi kwi kwi !!!!!!!
 

............. Ndio maana katika jiji la DSM hata ukitembea usiku wa manane utaona jamaa wanazungua unajiuliza hawalala? au wanalala saa ngapi, kumbe shughuli ndiyo hiyo...
 
pale kibaha maili moja kuna kontena bar..unawaokota kama kumbikumbi
 
C-program we unatisha,

umesahau huku
8. Kinondoni shamba- hawa wanakaa nje wengi wao wamezaa vitoto vodogo, uzunguka pale kwa John Fedha Bambuu na Gust yao Machi-machi.

9. Wengine wanaishi A.M Bar karibu na Mango Gardern wanakaa nje, wenye sura mzuri uzungukia Uhuru Peak na Mango gardern. Hapa ni wasanii wa luninga wakitoka mazoezini pale ccm ujimwaga.

10. tegeta wazo -club abiola hawa wengi waudumu baada ya kazi
 

hahaha nashukuru mkuu...mimi ni mzaliwa dar......nina miaka 23 ndani ya huu mji na ninaishi sinza madukani kwa hiyo jiji nina uzoefu nalo toka enzi za makamba,kandoro........
 
Uzi huu umechangiwa na watu wengi ............ tafsili yake ni kwamba, teh teeh teeeh!!!!!!!!!!

Waumini wa haka-kabiashara ni watu kibaoooo!! sasa tu :hail: loh! :A S-rap:
 

Wanakaa kwao
 
............. Ndio maana katika jiji la DSM hata ukitembea usiku wa manane utaona jamaa wanazungua unajiuliza hawalala? au wanalala saa ngapi, kumbe shughuli ndiyo hiyo...

hili jiji lina mambo sana.....mkuu hata ofisi miguu yako....
 

Bila kusahau Palace Hotel na Concorde hotel ambazo zinatazamana mtaa wa Sikukuu kariakoo pamoja na Keys hotel!
 
nimekubali kiongoz sema kuna sehem nyingi hawa watu ni hatar kila sehem wamekaba
 

hiyo namba 7 kiboko haina longolongo.!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…