Machangudoa waundiwa vikundi vya ulinzi Moshi

Machangudoa waundiwa vikundi vya ulinzi Moshi

Kama mmachinga mnamtambua nadhani huyu naye mtambueni alipe kodi na kuchunguzwa afya mara kwa mara. Hakuna namna hapo. Sana sana mnawaongezea thamani tu. Bila neno la Mungu kwao wabadilike mnajisumbua kwani hao hao sungu sungu ndo wateja wao
 
Kwa hakika siku hizi mambo yamebadilika sana. Miaka ile kupata tunda la kichaga ilikuwa nadra sana. Lakini siku hizi yamejaa tele sokoni. Hata lumbesa unabeba mradi hela yako tu.
Hahaha! Unajidanganya, nani kakwambia ni wachagga? Fuatilia mkuu, no research, no right to speak.
 
Kazi kwelikweli...kila la heri kwenye kuwadhibiti (kama itawezekana, kwa maana ni ngumu mno)
 
Back
Top Bottom