Machangudoa kupewa EFD

JOSE MOURINHO

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
231
Reaction score
74
Inashauriwa kuwa Serikali ianzishe mpango wa kutoza kodi changudoa (madada poa) kwa kutumia mashine za EFD ili kuweza kukunya mapato ya kutosha ambayo yanapotea bure kwani wanapata wateja wakutosha.

Source: Klabu ya pombe za kienyeji Mburahati.
 
Mkuu, ili wakusanye kodi huko, itabidi kwanza serikali watambue uchangundoa kama biashara halali kabisa. Utambuzi lazima uendane na kutoa leseni. Leseni itatolewa kama wataonyesha wapi wanafanyia hizo biashara (eneo). hayo yakitimia, kodi itakusanywa.
 
hiyo source yako inaendana na hiki ulichokileta hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…