Machali kujiuzulu ubunge?

Ukoo wa Moses Machali una matatizo ya Akili na Ndio Maana Mbatia anatumia mwanya huo kujinufaisha!Moses Machali akiwa darasa la tano alilazwa Milembe na kama anabisha nitaweka hapa.Baba yake Mzee Machali yupo Milembe hadi sasa hivi.Mtoto wake Moses Machali yupo Milembe mpaka sasa amelelazwa kwa utindio wa Ubongo .Mdogo wake Moses Machali yupo Kasulu anavaa Chupi kichwani!.Sasa wana Jf sisi sote ni great thinker najua humu wapo waliokaribu na Mh Machali,muulizeni .!!Tunaweza kuwa tunachangia thread ya mawazo ya mtu mwehu!
Lahaula kwati, ah..... nilikuwa napita tu. Mbona makubwa! Mie simo!!!
 
Ukoo wa Moses Machali una matatizo ya Akili na Ndio Maana Mbatia anatumia mwanya huo kujinufaisha!Moses Machali akiwa darasa la tano alilazwa Milembe na kama anabisha nitaweka hapa.Baba yake Mzee Machali yupo Milembe hadi sasa hivi.Mtoto wake Moses Machali yupo Milembe mpaka sasa amelelazwa kwa utindio wa Ubongo .Mdogo wake Moses Machali yupo Kasulu anavaa Chupi kichwani!.Sasa wana Jf sisi sote ni great thinker najua humu wapo waliokaribu na Mh Machali,muulizeni .!!Tunaweza kuwa tunachangia thread ya mawazo ya mtu mwehu!

OH, Mungu wangu!!!!
Huo ubunge atakuwa aliupata kwa kupiga mayowe bila kuchoka
 
Ni endapo David Kafulila (mb) au Hashim Rungwe atafanikiwa kuwa mwenyekiti wa NCCR-MAGEUZI.

Moses Machali ni mbunge pia kupitia NCCR-Mageuzi.

SOURCE: TBC1 news bulletin.
Kweli JF imepoteza mwelekeo sasa hapa alitaka kufikisha ujumbe gani???????????shame upon you!
 
Sioni uhusiano wa kichwa cha habari na habari yenyewe!!nilitarajia kichwa cha habari kiwe hivi 'Machali awakemea wanachochea mgogoro NCCR MAGEUZI!
 
Nilisikia watu wa mikoa flani wenyewe kwa wenyewe awapendani hata kama wanaishi mtaa mmoja wanaweza wasisahidiane kabisa na wakaishi kama mpalestina na muisrael!
 
King king, hii si mara yako ya kwanza kukishambulia chama cha NCCR-Mageuzi. Ushindwe, pamoja na wote waliokutuma (kama wapo). Kama unamtaka mbunge wetu awe na heshima, jifunze wewe heshima kwanza kwa kuandika majina ya watu kwa usahihi, na kuachana na chama ambacho hakikuhusu. Kama unataka undani wa NCCR-Mageuzi njoo ujiunge, sio kukaa pembeni na kufanya kazi ya kiibilisi; fitina na hiana kwa nyumba usiyolala.

Neno Ushindwe halitokani na Mungu na wala halipo Kwa Wakristo Wa Kweli!!!
Tunaoamini katika haki , tunatasimama na Ukweli ambao unaweza kutuweka huru!!!. Pia afichae dhambi hata fanikiwa angalia akina Mwakyembe walificha wamiliki halali wa Richmond/Dowans Ndio maana mpaka leo wezi hao wametushitaki na kudai 111bls.

Ndugu yangu Huwezi kumulinda Mbatia kama anatenda Dhambi na njia pekee ya kumusaidia ni kusema ukweli juu ya yale yanayosemwa juu yake!!!
Mbatia ana matatizo Makubwa ambayo yamesha weka hadharani na kama kweli ni mtu wa Mungu anapaswa kuchukua hatua ya haraka kuachia ngazi!!!

Na kama anaonewa ni bora akajibu hoja na sio kusimama na kupinga hoja bila kutoa ukweli hiyo ni dhambi kama ya Mbatia
 
Ukila nyama ya mtu hutaacha. hawa jamaa wote walikuwa wabishi na hawaambiliki walipo kuwa chadema sasa ndo kinacho endelea huko kila mmoja ni kambale. Mbatia alimpokea kafulila kwa tambo na mbwembwe sasa anamrudi
 
Neno Ushindwe halitokani na Mungu na wala halipo Kwa Wakristo Wa Kweli!!!
Tunaoamini katika haki , tunatasimama na Ukweli ambao unaweza kutuweka huru!!!. Pia afichae dhambi hata fanikiwa angalia akina Mwakyembe walificha wamiliki halali wa Richmond/Dowans Ndio maana mpaka leo wezi hao wametushitaki na kudai 111bls.

Ndugu yangu Huwezi kumulinda Mbatia kama anatenda Dhambi na njia pekee ya kumusaidia ni kusema ukweli juu ya yale yanayosemwa juu yake!!!
Mbatia ana matatizo Makubwa ambayo yamesha weka hadharani na kama kweli ni mtu wa Mungu anapaswa kuchukua hatua ya haraka kuachia ngazi!!!

Na kama anaonewa ni bora akajibu hoja na sio kusimama na kupinga hoja bila kutoa ukweli hiyo ni dhambi kama ya Mbatia
Jifunze kwanza kuandika majina ya watu kwa usahihi, kabla ya kudai wewe ni mkristo wa kweli. Mkristo wa kweli hutoa kwanza boriti jichoni mwake, kabla ya kuona vibanzi vya wenziwe.Mkristo wa kweli yupi, anayechochea anguko la mkristo mwenzake. Kasome vizuri maandiko ujitambue wewe ni mkristo wa namna gani.
Kristo mwenyewe alimkemea shetani, nami nazidi kumkemea; SHINDWA!
 
Binafsi, nachukua fursa hii kumpongeza Mh. MACHALI kwa msimamo wake wa kuapa kujiuzuru ubunge na uanachama wa NCCR iwapo Kafulila atakuwa mwenekiti wa chama hicho, unajua watu wengi hamjui kafulila na tabia zake mbaya, wala huyu hana uzalendo hata kidogo

ni mr.misifa yaani hupenda kusema tu ili aonekane amesema lakini ukija katika suala la utekelezaji wa mipango yake ni ziro kabisa. Nawashauri kumuona kafulila sawa na matapeli wa kisiasa,si mfano wa kuigwa. Kwa upande wa machali aka JEMBE yaani mtu anayependa kusema ukweli daima aungwe mkono, huyu jamaa siyo mbabaishaji hata kidogo ni mtu anayependa kufuatilia mambo kuliko Kafulila, hebu anza tu kufuatilia sifa zao kitaaluma utabaini kuwa Kafulila alitoroka hata chuo,elimu yake mnaijua?muulizeni muone kama atawaambia labda anaweza akawaambia kwa sababu nimechokoza hilo,ni mbabaishaji tu na ndiyo maana anawakimbia hata watu wake jimboni,

hana uwezo wa kujadiliana ni mnafiki wa kupita kiasi.Zipo taarifa kuwa yeye na Hashimu Rungwe wamepata fedha za CCM ili kuhakikisha mbatia nang'oka kwenye uenyekiti eti kwa sababu mbatia kashitaki Benki ya moja inayotetewa na kampuni moja ya kiwakili ya watu wa CCM. Wasiyeyushe hoja, wahojini wamepata wapi hela za kununua wajumbe wa NEC ya nccr?

Aidha siku moja Mh. MACHALI alipata kudai kuwa tayari kafulila alikuwa amemwomba washirikiane kumng'oa Mbatia lakini kwa kuwa machali ni ANALYST wa mambo kitaaluma huwa hakurupuki, alimshauri kafulila haraka ya nini kutaka Mbatia aondoke kwa vurugu?una ajenda gani,Oooh!mimi nataka niwe m/kiti(kafulila huyo)halafu wanasiasa wengi watahamia kwetu na tutajenga chama na kwa hiyo kuna watu wengi wanatuunga mkono wakiwemo akina hashimu Rungwe nk. Kwa hiyo wewe niunge mkono.

MACHALI AKAMJIBU "SIWEZI KUWA CHIMBUKO LA VURUGU ZISIZOKUWA NA FACTS. Nenda katafute hoja nyingine na ukipata sababu za kutosha ndiyo uje", Kiukweli Machali anapaswa kuungwa mkono kwa msimamo wake, hatupaswi kumbeza kama anavyofanya Kafulila kwa kusema kuwa Machali ni mwoga na eti apambane akiwa humohumo nccr.

Kusema hivyo ina maana tunabariki wana ccm na wale wote waliowahi kuwa ccm warejee ccm wakendeleze kupambana humohumo ccm. Wazo la Kafulila limefulia kweli kama jina lake lilivyo, anataka kutushawishi na sisi wana harakati kuwa ccm siyo tatizo, Kimsingi KAFULILA awapelekee ndugu zake hiyo hoja ya kutaka, KAMANDA machali abaki nccr wakati kafulila au Rungwe akiwa mwenyekiti. NAKUBALIANA NA DR. SLAA KUMUITA kafulila SISIMIZI, hakika anfikiria kisisimizi sisimizi.

Ndio maana aliwahi kumsifia KIKWETE Kuwa ndiye Rais bora aliyewahi kuujali mkoa wa kigoma, anamsifia kikwete kwa mema yapi kwa wana kigoma. Kafulila CCM kwelikweli tena CCM "A",halafu huyu jamaa ndiye anayetaka kuwa Mwenyekiti wa NCCR, amefulia kwelikweli na hii ni aibu hata kwa wale wote wanaomfagilia kafulila huku wakijua kuwa ni mtu wa kuzungumza tu huku akiwa siyo mtendaji. Anafagilia CCM Kama hajui ccm NDIYE MCHAWI wa sis kuwa masikini katika hii miaka 50 ya uhuru.

Machali amenena sawasawa kuwa Kafulila na wafuasi wake wakifanikiwa kuingia kwa fujo kabla ya muda kufika ajiuzuru, hakika bravooooooooooooo kwa machali na hii itatoa mwanga na kuwakumbusha watu kuwa ni ujinga na upumbavu kukubali kufanya kazi chini ya mtu ambaye unajua kuwa hafai hata kidogo katika tasisi moja kama kafulila, Inawezekana ni kafulila kaandika hii post hapa JF na kujificha ili aone kama watu tutagilia, hatufagilii ujinga sisi, tunamshauri kafulila arudishe akili zake nyuma akatafakari juu ya yeye kuwa Bw. MITAFARUKU kila anapokwenda alipokuwa CHADEMA vurugu, NCCR vurugu.

Ametumwaa na ccm kuuua upinzani,hafai hata kuwa mkuu wa familia.
 
Hana uwezo wa kujiuzuru.Viongozi wetu wengi wapo kimasrahi zaidi ususani wabunge. Kama mungu angetoa fursa ya kuchagua watu wa kuingia kwanza jehanamu kabla yangu basi mimi ninge wachagua wabunge kwanza.Maana hawa ni wanafiki sana.
 
Machali kaonjeshwa kale kamchezo ka u cameroon na Mheshimiwa Mbatia maana hiyo ndo starehe yake. Haiingiii akilini kijana ambaye tunaamini ana paswa kuitetea demokrasia kinyume chake ana mshabikia muasherati huyu.
 
Huyo Machali ateme ubunge kisa Mbatia,wameshacheza kale ka mchezo nn? Maana kutema mafao ya ubunge c mchezo..ama kweli kale kamchezo katamu
 
Kamziki kengine tena hako. Na NCCR mageuzi wasipokuwa makini watapoteza....
 
Kweli JF imepoteza mwelekeo sasa hapa alitaka kufikisha ujumbe gani???????????shame upon you!

Jijengee utamaduni wa kusoma na kutafakari sio kila kitu ni kukurupuka tu..!Hamna ambalo halieleweki hapa!Sio lazima watu wajue umbumbumbu kiasi gani kwa kitu kidogo kama hiki.You could hide your ignorance...!
 
Jifunze kwanza kuandika majina ya watu kwa usahihi, kabla ya kudai wewe ni mkristo wa kweli. Mkristo wa kweli hutoa kwanza boriti jichoni mwake, kabla ya kuona vibanzi vya wenziwe.Mkristo wa kweli yupi, anayechochea anguko la mkristo mwenzake. Kasome vizuri maandiko ujitambue wewe ni mkristo wa namna gani.
Kristo mwenyewe alimkemea shetani, nami nazidi kumkemea; SHINDWA!
Sasa naanza kufahamu kuwa wewe ni NCCR Mtandao wa Mbati na unapapasa Ulokole kama Mbatia anavyofanya. Pia nakupa Changamoto uendelee kufuatilia post zangu utaona sina ubaguzi na dhambi.

Ungekuwa makini usinge chukia watu wanapo Mkosoa Jemus Mbatia kwani wanamjenga!!
Yapo Mambo Mazuri amefanya , na yapo Mambo mabovu kayafanya!!!!
Ukweli uliopo sasa Mambo Mabovu aliyofanya Mbatia Yamekithiri Mpaka Umma unamkataa!!!
Ukifikiri nakudanganya angalia wewew Mwenyewe uwe Mkweli!!
Nakushauli kama hujui ni bora ukaomba msaada kwa wanaojua ili ukijenge Chama Chako!!!
Jemus Mbatia amejenga sasa CCM mpaka sasa analaumiwa na Wanachama wake na wewe kaombe msaada kwa watu wengine vyama vingine ili ujenge NCCR!!

Angalia Marando ambaye ni muasisi wa NCCR amekwenda kujenga CHADEMA na mpaka sasa CHADEMA ni CHAMA KIKUU CHA UPINZANI nadhani unajua hiyo!
Kwani Marando alipokuwa anakwenda CHADEMA hakujua kuwa kuna NCCR???
Tunataka NCCR ikue iwe imara zaidi ya CHADEMA lakini Mbatia ni Kibaraka wa CCM.!!!

Hata Mbowe wa CHADEMA alimkataa MBATIA Tangia mwanzo na alisema ni CCM!!!
Samweli Sitta aliwahi kumwambia Mbatia kwanini anafuatilia Mambo ya CCM badala mambo yake??
Nakusihii usimteteee Mtu na Maovu yake kama una hoja Ukristo wa Kweli ni kusema kweli na si kuficha kweli .

Jitahidi kumweleza Mbatia ajitetee Mwenyewe asitumie akina mama na hao wengine wanao anza kulalamika baada ya kupigwa , jibu maswali , kwa nini watu waseme Mbatia ni Kibaraka wa CCM??m
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom