Mtu mjinga anaweza kuropoka jambo lolote na watu tutakupuuza tu.
Sijajua Moses Machali amesema hayo akisimamia Facts zipi?
Mkutano ulikuwa wa CHADEMA na bomu limelipuliwa na risasi zilipigwa kuwalenga viongozi na wafuasi wa Chadema, waliokufa ni kiongozi na wafuasi wa CHADEMA, watu wote waliojeruhiwa walikuwa ni viongozi na wafuasi wa CHADEMA. Sasa mtu anakuja kuropoka eti huenda wahusika wa tukio hilo ni CHADEMA!!!
Uwendawazimu sio lazima uokote makopo, hata kuropoka uchafu ni uendawazimu tu.

Hapa na mimi akili yangu ime stack kidogo...kauli ya huyu jamaa na ile ya yule aliyesema CDM wametorosha muhusika...Jamani viongozi wetu wanafikiri kwa kutumia nini au ndiyo yale aliyoyaema mh. Masaburi...?
How comes CDM wavamiwe na wao pia wawe suspects..?
Tumuombe Mungu awarudishie roho ya ubinaadamu waliopoteza viongozi wetu.....!!
Machali ameomba mwongozo bungeni kuwa, kama CCM ama CHADEMA vikibainika kuhusika na tukio la mlipuko Arusha basi msajili wa vyama vya siasa avifutilie mbali, akaendelea kusisitiza kuwa, "Tanzania ni bora kuliko CCM ama CHADEMA".
My take;
Machali amewastahi tu CHADEMA kwa kuwa hawapo bungeni, ila ukweli anao moyoni kuwa CHADEMA ni cha kufutwa haraka, kwani hawana weledi wa kufanya siasa za kistaarabu na siasa safi.
We pimbi nenda ukaombe kazi ya kusafisha makalio ya wakazi wa MAGOGONI!! Huna jipya!!
Machali ameomba mwongozo bungeni kuwa, kama CCM ama CHADEMA vikibainika kuhusika na tukio la mlipuko Arusha basi msajili wa vyama vya siasa avifutilie mbali, akaendelea kusisitiza kuwa, "Tanzania ni bora kuliko CCM ama CHADEMA".
My take;
Machali amewastahi tu CHADEMA kwa kuwa hawapo bungeni, ila ukweli anao moyoni kuwa CHADEMA ni cha kufutwa haraka, kwani hawana weledi wa kufanya siasa za kistaarabu na siasa safi.
Machali ameomba mwongozo bungeni kuwa, kama CCM ama CHADEMA vikibainika kuhusika na tukio la mlipuko Arusha basi msajili wa vyama vya siasa avifutilie mbali, akaendelea kusisitiza kuwa, "Tanzania ni bora kuliko CCM ama CHADEMA".
My take;
Machali amewastahi tu CHADEMA kwa kuwa hawapo bungeni, ila ukweli anao moyoni kuwa CHADEMA ni cha kufutwa haraka, kwani hawana weledi wa kufanya siasa za kistaarabu na siasa safi.
Chadema ni cha kupigwa ban milele
Serikali ya ccm inajua kila kitu hata jana tulikutana na baathi ya police ar wanasema hii gemu ni yao na ninakuhakikishia hiyo tume haitafanya chochote,ukweli wanao wao
mkuu chama cha kufutwa ni ccm! TENDWA afute hicho chama haraka ni janga!Machali ameomba mwongozo bungeni kuwa, kama CCM ama CHADEMA vikibainika kuhusika na tukio la mlipuko Arusha basi msajili wa vyama vya siasa avifutilie mbali, akaendelea kusisitiza kuwa, "Tanzania ni bora kuliko CCM ama CHADEMA".
My take;
Machali amewastahi tu CHADEMA kwa kuwa hawapo bungeni, ila ukweli anao moyoni kuwa CHADEMA ni cha kufutwa haraka, kwani hawana weledi wa kufanya siasa za kistaarabu na siasa safi.
Machali ameomba mwongozo bungeni kuwa, kama CCM ama CHADEMA vikibainika kuhusika na tukio la mlipuko Arusha basi msajili wa vyama vya siasa avifutilie mbali, akaendelea kusisitiza kuwa, "Tanzania ni bora kuliko CCM ama CHADEMA".
My take;
Machali amewastahi tu CHADEMA kwa kuwa hawapo bungeni, ila ukweli anao moyoni kuwa CHADEMA ni cha kufutwa haraka, kwani hawana weledi wa kufanya siasa za kistaarabu na siasa safi.
CCM ni wazi watafurahi iwapo CHADEMA kitafutwa. Lakini kwa tukio la Bomu utasema makanisa yafutwe? Ni mwenye mawazo finyu tu anaweza kutoa hoja ya kufutwa CCM na Chadema kuwa ni suluhisho la yanayotokea Tanzania.